Natafuta mtu anayeuza madawati ya watoto

Natafuta mtu anayeuza madawati ya watoto

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,523
Reaction score
14,002
Heshima kwenu wote!

Natafuta mtu anayeuza madawati ya watoto wadogo chini ya miaka 7 kwa ajili ya kusomea sihitaji yale ya kichina. Hata kama kuna fundi mwenye uzoefu wa kutengeneza naomba kujua bei zake na picha zake.

Madawati 50 yanahitajika Tanga mjini.

Tuwasiliane PM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom