Nyumba kali sana inauzwa wilayani Tarime Mji, maeneo ya Nkende shule ya msingi, ina eneo la 25x40, nyumba ni kubwa sana ina vyumba 3 vya kulala na kimoja ni master, dining room, siting room kubwa...
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania
Husika na kichwa cha Habari Hapo juu.
Nawauza Hao sungura watatu Hapo wamezidi utukutu. Naona bora niwauze drop your offer kwa wote hao...
Habari wa JF
Nauza nyumba yenye vyumba vitatu, ukumbi, dinning, jiko
Vyumba viwili ni master na public toilet moja
Nyumba una fance tayari
Umeme maji tayari
Nyumba ya pili toka barabara kuu ya...
Habari,
Pikipiki aina ya Boxer 150cc Inauzwa.
Condition: Used
Mahali: Kigamboni
Bei: 950,000
Documents zipo.
Kwa kijana anaeanza maisha itamfaa kwa bodaboda. Kama atakua na uwezo wa kuweka...
Nauza mashine ya juice ya miwa na banda lake na kila kifaa cha kazi ikiwepo vyombo vya wateja,vya maji na extension ya umeme wewe ni kununua miwa tu na kuanza kazi..
Inatumia umeme
Imetumika MIEZI...
Kama unahitaji software hii basi check me on 0713388317/0757749641.
Iko complete from Source documents to Final financial statements. Na imefuata sheria zote za kiuhasibu IFRS/IPSAS!
Karibu...
Wakuu habari naomba msaada kwa anayejua kifaa hiki wapi KIinauzwa nitashukuru sana nimekwama kufanya mishe za dignosis kwenye machine yangu ya LAUNCHER
DBS SCAR 5
MODEL DS 201
Nahitaji kiwe volt...
RAHDAN is a Professional Cleaning Company in Tanzania offering services like Home Cleaning & Maid Services, Office Cleaning Services & Fumigation Services
ndugu wana JF, nataka kununua gari dogo (used) nina US $ 3,000 mkononi ambazo naweza kutoa kama downpayment katika mkopo na kulipa kidogo kidogo kwa mwezi kiasi fulani hadi kumaliza deni la...
Habari wadau,
Naomba kama kuna anayefahamu namna ninaweza kupata mizinga ya kufugia nyuki. Kwa ajili ya kuweka shambani kwangu. Ninahitaji michache kama mitano hivi.
Mimi nipo Dar es Salaam Ila...
Je wewe ni mwajiriwa lakini mshahara unaoupata hautoshelezi kuyaendesha maisha yako?
Je umekuwa kwenye ajira kwa miaka mingi, lakini kikubwa ulicho nacho ni madeni na mishahara haikutani?
Je...
Habari wana Jf kuna jirani yangu Mbezi beach upande wa Kushoto kama unaenda Tegeta na eneo liko tambalare amekata eneo lake kipande cha square meter 840 muuzaji nae yuko hapo hapo eneo lote lina...
Hisense (2020 TV) A7 series 50" inauzwa (Million 1.1)
Tv ni smart yenye sifa zifuatazo:-
1. UHD TV (4K resolution)
2. VIDAA SMART OS
3. High Dynamic Range
4. DTS Studio Sound
5. Bluetooth
6...
FAM
Inatafutwa sehemu inayofaa kwa Tuition Center.
Maeneo ya Mbagala DSM kuanzia:
A) Mbagala Mission mpaka Mbagala Mzinga
B) Mbagala Rangitatu hadi Charambe kwa Mbiku.
Sehemu yoyote iliyo...
Nilinunua radio ( home cinema) zamani kidogo kwenye mwaka 2007/9 kupitia ndugu yangu aliyekuwepo Africa ya kusini na kuileta hapa nyumbani.
Bahati mbaya vibaka walivunja na kuiba hiyo radio na...
Kama tittle ilivyo nahitaji BAHASHA kama hii kwenye attachmenti
NB: hii ni sample tu. Nahitaji isiyo na maneno ya msd. Nahitaji mtu anaweza kufanya.
Printing ya hii kitu
Samahani mm mgeni humu ndani sijui km nimepost sehemu sahihi.
Nahitaji msaada km kuna mtu ana kiwanja Morogoro mjini kwa ajili ya kujenga nyumba ya kawaida tu, (aniuuzie isiwe nje sana ya mji...