Nauza Samsung galaxy A50 bei Tshs. 450,000 picha sina maana ndio simu nnayoitumia hapa. Ukihitaji mawasiliano: 0689 150 968 watsapp 0625 576 082 ipo na charger yake original
Hello Wadau
Mimi kama kijana Mjasiliamali nimeweza kutembea kwenye Mapango kadhaa na nimefanikiwa kukusanya mbolea ya Mavi ya Popo wa Porini na kiasi kidogo ya Wale wa nyumbani na kuitumia hii...
Nina shamba ekari 50 lina miti ya Asili mingi ikiwemo mninga na mkulungu, yeyote aliyetayari aje inbox tuzungumze tushirikiane. Serikali imeanza kutoa vibali vya uvunaji.
Karibun sana
Habari wana jamvi, mimi ni fundi wa skimingi na upakaji wa rangi nzuri, nina uzoefu wa miaka 4,
Kwa mwenye kuhitaji nimfanyie kazi, mwenye kuhitaji ushauri juu ya rangi nzuri pia ata kama ni...
Tunauza samaki bei poa kabisa kulingana na uzito unaonunua. Kwa mfano ukinunua; 0-2kg = tsh10,000/-, 3-5kg = tsh9,600/-, 6-9kg =tsh9,400/-, 10-14kg = tsh9,200/-, n.k. kama ilivyoambataanishwa...
Habari!
Nyumba kubwa (haijaisha) yenye sifa zifuatazo ikiwa ndani ya kiwanja chenye ukubwa wa Hekari 1 na nusu inauzwa:
1. Sebule kubwa (6M × 8M)
2. Dining room kubwa (4M x 4M)
3. Jiko kubwa (3M...
ZIPO
1: BAHI : BILIONI 4
2: DODOMA MJINI : BILIONI 3.5
VIWANJA PIA VINAPATIKANA DODOMA.
PIGA NAMBA 0762967368(WHATSAPP) AU FIKA OFISI YA DULAIKI GROUP ILIYOPO MAKULU DODOMA.
KARIBUNI...
Habari za wakati huu;
Najua wengi mnajua hili.Najua wengi mmewahi kuambiwa hili najua wengi mnatamani muambiwe hili
Katika maisha huwa hakuna kitu kinaitwa kuchelewa au kuwahi.Kila jambo lina...
gari brevis au verosa inahitajika kwa pesa taslimu 3m
gari iwe katika hali nzuri yenye uwezo wa kufika sehemu yoyote tanzania..nipo mbagala zaidi nichek pm
Je unasumbuliwa na mapunye au chunusi za mda mrefu?
Basi solution lako ni shaza soap,sabuni kutoka burundi ambazo zimetengenezwa kutoka nchini burundi zenye mchanganyiko wa flavour ya lemon,zenye...
Nauza CPU ya Computer kwa bei nafuu
Ni Dell Vostro
Ram 4 GB
Hard Disk 800 GB
Bei laki mbili (200,000/=)
Ukinunua nakupa Keyboard na mouth bure
Nipo DSM, Tabata Kinyerezi
Habari za wikiendi pevu wadau wa JF,
Kutokana na uzoefu wetu, tumeshuhudia watu wengi wakipata hasara pale wanapoagiza
bidhaa nje ya nchi kutokana na sababu mbalimbali.
Ni kweli kuagiza kutoka...
Natafuta gari ya kukodi yenye majina hayo hapo juu kwa ajili ya (kukodi) kazi ya mkoani, kama wewe unayo au kuna mtu unamjua anayo mpe ujumbe huu anifate private
Ntampa maelezo zaidi ahsante