Habari wana bodi,
Mninga unauzwa, uko kwenye hali nzuri.
Vibali vyote (LATRA, BIMA,MAPATO) viko hai,
Ina bima kubwa(Comprehesive)
Ni gea 8
Inauzwa kwa bei ya kutupwa
4omil(Price is negotiable)...
Lovely double storey house founded in a good neighborhood of Mbezibeach almas street, few metres from Mwaikibaki road, coming with four bedrooms ( all selfcontained ) plus servants quarter. Built...
Quadro Fx3500, Resolution 2560 X 1440 pixels = 2k
Good and Powerfull for Gaming and Graphics..
I was using it for video editing...
Nakupa na vga cable yake
Price 70k
Habari, ninaitwa Mariam Peter ni Business Development Associate wa Solar Sister.
Nina taa za solar za aina mbalimbali kuanzia ndogo za kuweza kutumika kama tochi na kubwa kabisa za taa tatu...
Nimenunua gari aina ya fuso
Sasa bodi yake ni zile kama za kubebea samaki zile za bati
Watu wengi wanashauri nishushe bodi zima na niweke bodi jipya la bati swali kwa wataalam napenda kujua faida...
MABOTO ENTERPRISES LIMITED
Hii ni taasisi ya kifedha inayokopesha fedha kwa Watumishi wote walio chini ya Mkurugenzi (w) hapa nchini Tanzania. Wana riba nafuu sana na masharti nafuu. Ukikamilisha...
Kipo katika hali nzuri, watoto wenye umri mpaka miaka miwili wanaweza kulalia.. neti yake, mito na godoro lake vyote vipo.
Bei: Laki na ishirini {120,000}
Mahali: Kimara DSM
Mawasiliano: 0657787311
Kiwanja kinauzwa jijini Mwanza.
Wilaya: Nyamagana
Kata: Mhandu
Mtaa: Kisiwani
(Karibu na shule ya sekondari Mhandu)
Kiwanja kimepimwa na kina hati kamili ya umiliki.
Size: 30 kwa 30 (hatua za...
Mahali: Mbezi Beach Tanki Bovu
Kodi ya Mwezi: Tshs 200,000
Malipo ya Miezi: 3 au 6
Maji ya bomba/dawasa masaa 24, egesho la usafiri lipo Usalama wa kutosha, Uzio na fensi.
Maelezo zaidi: 0716442950.
Kama inavyosomeka hapo juu,
Naomba yeyote anayeuza vinu vidogo vya kukoboa mpunga aje inbox, pia yeyote mwenye Mota 3 phase hp 20-Used tuwasiliane. Nataka kuanzisha biashara ya kukoboa mpunga...
Je, kwa muda mrefu unasumbuka namna bora ya kuiendesha biashara yako kisheria na kuiongezea thamani biashara yako? Kama ndio basi nina jambo jema kwaajili yako.
Biashara yoyote ili itambulike...
Habari zenu, Nifahamisheni duka zuri hapa Dar zinapouzwa Iphone 12 nzuri na za uhakika (yasiwe maduka ya makanjanja nsije kupigwa feki). Natanguliza shukrani
TECNO COMON 15
RAM 4 GB
STOREG 64 GB
INTERNET 4G
BEATRE 5000AH
ADROID VISION 10
BEI NI 130000 FIXED
INA CREK KIDOGO KWENYE KIOO ILA INA PIGA KAZI VIZURI
CALL 0710792664
Nipo UBUNGO MAKOKA KWA...
Jipatie Mashuka size 6*7 kwa bei ya
Material: Cotton
Sh.35, 000 tu
(PACKAGE INA MASHUKA MAWILI + FORONYA MBILI)
Ukihitaji nipigie au nicheki whatsapp 0685269533 nikutumie sampo mojamoja uchague...