Mariam Peter
Member
- Apr 19, 2020
- 28
- 8
Habari, ninaitwa Mariam Peter ni Business Development Associate wa Solar Sister.
Nina taa za solar za aina mbalimbali kuanzia ndogo za kuweza kutumika kama tochi na kubwa kabisa za taa tatu zenye USB port kwa ajili ya kuchajia na panel yake ya 6W.
Bidhaa zote zina guarantee ya mwaka mmoja na bei ni nafuu mno.
Ninapatikana Dar es Salaam, mteja wa ndani ya Dar nitamfanyia delivery, kwa nje ya Dar ninaweza kukutumia bidhaa utakayotaka.
Waweza wasiliana nami kwa email mariam@solarsister.org au kwa namba ya simu 0688006640
Sent using Jamii Forums mobile app