Wadau fursa hii tushikirikiane.
Kama una shamba na lipo eneo kidogo eneo zuri basi tunapima viwanja na kusimamia uuzaji wote kwa gharama zetu kwa mkataba maalum baina yetu
Wewe uwe na shamba...
Nimepata dharura nauza tv 55" samsung smart 1.2mil, radio sony soundbar 1000w 1mil na meza ya chakula viti sita laki 6 atakaechukua tv na redio nitamfanyia 2mil.. vyote bado ni vipya
Vipo mwanza...
Kwa wapenzi wote wa riwaya za gwiji, mwenyewe Ben Mtobwa, sasa tunakuletea kitabu chake cha LAZIMA UFE JORAM na NYUMA YA MAPAZIA. Pia katika mlolongo wa vitabu hivyo, utaweza kujipatia nakala...
Wadau habari zenu,
Nina hitaki sofa classic za ngozi ziwe zinauwezo wa kubinuka mfano pale unapotaka kulala unaikunjua kama siti ya gari una lala na baadae unairudishia kama ilivyokua ...kama...
Ndugu wana JF
Kwa wale wote wanaohitaji kutengenezewa system or Applications mbali mbali kwa ajili ya shughuli binafsi, Business ama projects nipo kwa shughuli hizo. Wenye mahitaji hayo wanaweza...
Mahali: Mbezi Beach Makonde,
Kodi ya Mwezi: Tshs 120,000
Malipo ya Miezi: 3 au 6
Ipo karibu sana na kituo cha daladala, dakika moja upo kituoni.
Maji ya bomba/dawasa masaa 24, Uzio na geti...
Infinix Hot 8 Lite
Model: infinix X650
XOS version : XOS v4.1.0(O-P86-190731)
Android version 8.1.0
Android security patch level :
August 5, 2020
Device info
CPU Core Count
4
CPU Frequency...
Salaam Sana wakuu,
Naomba kujuzwa ni utaratibu gani serekali inatoa kugawa hizi chanjo na mifugo?
Nina ngombe nahitaji wachomwe chanjo za ECF (East Africa fever).
Nimeshaulizia madaktari kadhaa...
Habarini za Mchana wana Board.
Watu wengi hupata hasara wakati wa kununua magari kwa watu wengine (used vehicles), kwa sababu huwa hawana taarifa ya kutosha kutoka kwa amma wataalamu au jamaa wa...
Fridge langu mlango wake haubani vizuri. Yaani ukifunga kunabaki upenyo unaosababisha baridi kutoka nje. Najua Kuna zile lock Kama za milango ya nyumba lakini kwangu naona kama ni za kizamani Sana...
Corner plot with unfinished house located in a good neighborhood of Mbezi Beach Makonde, few metres from bagamoyo road. Plot is surveyed and It is ideal for residential purpose.
Mahali...
*HABARI NJEMA KUHUSU VIWANJA VYA KIMBIJI VILIVYOPIMWA NA KUUZWA KWA MILION 1.5*
Baada ya mwitikio mkubwa kuliko idadi ya viwanja vilivyokuwa vinauzwa kigamboni kimbiji mtaa wa golani nyuma ya...
Namshukru Mungu nimekabidhi kazi ya Jengo hili kwa Mteja wngu
Ni Wilaya ya Bagamoyo
Tulianza Msingi mpaka hatua hii
Hakika Uaminifu ni Mtaji
Jengo lina vyumba vinne
Master moja
Self mbili
Ukubwa...
Unahitaji mashine zilizo bora nakushauri jipatie mashine kutoka kampuni la strongtech bei yake million moja na laki mbili na nusu tu (1250000)
Sifa kuu inakamua na kuchuja yenyewe na kuicha juisi...
Habari wadau na wanajukwaa kwa ujumla.
Nitakua naleta gari ninazotumiwa na maboss wanaouza gari zao kutoka sehemu tofauti tofauti.
Ungana nami sasa.
TOYOTA VITZ clavia
Cc 1290
Engine vvti
Price...