Kama Kichwa Cha habari Kinavyojieleza.
Nina Biashara ya Hosting ambayo bado ni Changa, Nimeifanya Kwa Miaka miwili na Tayari. Ina wateja ambao wako Active 10, Na Wanalipia Kila mwaka (Wanalipia...
Habari wakuu nauza jiko langu la gas plate tatu jipya kwenye box lake,nimepata shida ya haraka.Bei ni 180,000 maongezi yapo,jiko liko dar es salaam ilala.
Mawasiliano call/WhatsApp/sms 0688 055...
Ninauza mashine ya kusqfisha tiles, kukwangua rangi na kufanya skimming kwa bei sawa na bure.
Maelezo;
1. Inatumia umeme
2. Ina taa maalum zinawaka kuzunguka maahine kukuwezeaha kufanya kazi...
Habari Zenu Ndugu Zangu.
Yes, THE FUSE TZ LTD, Ni Business Consultants Company ambao kwa Pamoja Tuna Deal Na
1. Business Registrations
2. Tra And All Tra Related Issues.
3. Loans Guidance And...
Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari
picha chini inaonesha jumla ya gharama kwa baadhi ya gari tulizoagiza kwa mwaka huu 2021. Hivyo ukihitaji kumiliki gari yako kutoka nje inaweza...
Hi Wapendwa nauza simu aina ya Tecno Phantom 8
Specification zake RAM-6GB Internal memory 64GB
MaH-3500
Iko kwenye good condition sijawahi ipeleka kwa fundi na haina tatizo lolote lile imetumiwa...
Marlone alimtazama tena King na kutabasamu. “Yaani mara moja hii umesahau kuwa hangaika yetu yote hii ni kufanikisha dhamira yako ya kwenda Ikulu?” Alimwuliza baadaye, kwa sauti ndogo.
"Ikulu!"...
Nauza camera ikiwa katika halu safi kabisa
60x optical zoom
up to 45hrs
60GB HDD
SONNY
NB:MIMI SIZIFAHAMU CAMERA ISIPOKUWA JAMAA TU NAJARIBU KUMTANGAZIA BIASHARA YAKE, UKIITAJI KUFAHAMU...
Habari wakuu,
Maonesho ya Saba saba tuyafanyie humu jukwaani, weka bidhaa yako pamoja na bei watu tuione. Kwa kufanya hivyo utajiongezea wigo wa biashara kwa kupata wateja wengi zaidi.
Weka...
Salaam..
Naombeni msaada wa kupata ngamia wa kununua hapa Tanzania. Nahitaji wadogo kwa lengo la kufuga. Mwenye nao au anejua pakupqta naombeni msaada. Tuchekiane kwa namba 0686 666666.
Asante sana
INAUZWA
Boss anataka mtaji wa matikiti maji
ipo Kinondoni Mkwajuni
hananasif
maji yapo
umeme
panafikika
Bei 95milioni ( milioni tisini na tano tu)
mazungumzo yapo
DM ipo wazi
0713895176
0737026581
𝒌𝒊𝒘𝒂𝒏𝒋𝒂 kinauzwa
𝓹𝓻𝓲𝓬𝓮: million 5.
𝑳𝑶𝑪𝑨𝑻𝑰𝑶𝑵: kimara mwisho kwa komba.
𝒔𝒊𝒛𝒆: mita 20 kwa 12.
Mauziano ya Serikali ya Mtaa
𝒎𝒂𝒘𝒂𝒔𝒊𝒍𝒊𝒂𝒏𝒐: 0683011003
ɢᴀʀɪ ɪɴᴀғɪᴋᴀ ᴍᴘᴀᴋᴀ ᴋɪᴡᴀɴᴊᴀɴɪ