Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nissan tiida Ipo sokoni 2004 Km110000 Cc 1490 Black Nipe mlioni 6.9 tu Milioni sita na laki Tisa tu Njoo pm tufanye biashara
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari, Nahitaji karanga kama Tani 100. Naomba kujua wapi nitapata mzigo mkubwa kama huu na bei yake ikoje. Ahsante.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Human resource management portal Features Employee Expense claim Leave Attendance Document workflow Team Payroll Employer NOTE; Faida yake mfanyakazi atakua na account, ataweza kuona...
0 Reactions
0 Replies
319 Views
Habari Tumefanikiwa kufungua kituo cha Tuition maeneo ya Charambe Majimatitu, mwezi ujao tunafanya programu ya Pre-Form One kwa wanaomaliza darasa la saba. Tumefanikiwa kuweka matangazo ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wanajf. Kwa mahitaji yako ya fundi viyoyozi na majokofu pamoja na friza,ni PM. Installation ya viyoyozi na kuziosha,utengenezaji wa mafriji na mafriza.Huhitaji kuhangaika,huduma yetu ni...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
HABARI NJEMA NAUZA VIWANJA SQURE METER MOJA TSHS 19500/= MAENEO YA MPIGI MAGOE MBEZI KM 7 MPAKA STAND YA MAGUFULI UMEME NA MAJI YA DAWASCO YAPO.UKUBWA WOWOTE UNAOUTAKA..(DALALI ANAKARIBISHWA 10%)...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Excavator inauzwa Million 250 , kwasasa ipo Makumbusho, kwa anae hitaji kuja kuiona tuwasiliane. au pia kama unataka kuikodi pia tuwasiliane, 0764531080 NB: Hii Excavator sio yangu ni ya Mchina...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
BRAND:::: Iphone 12/12 PRO MAX ONLY 10,000/= 15,000/= 20,000/= MATERIAL::TRANSPARENCY bling DELIVERY::AVAILABLE WHATSAPP:: #0621585708 CALL:::#0621585708
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Habari zenu wakuu, Ninatamani kuanza kutumia bidhaa ya Oriflame inayoitwa Novage advance breakout defence emulsion. Nimeambiwa kwa sasa hazipatikani kwa kuwa Oriflame hawa-operate nchini na hizo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanga stones ni mawe mazuri, unatumia kuremba ukuta, unaweka kama tiles na pia unaweza kuweka kama paving. ni mazuri sana. ninayo ukihitaji kwa biashara au kwa kujengea nyumba yako. kama una swali...
3 Reactions
122 Replies
16K Views
Jipatie mapazia mazuri kwa muonekano wa chumba chako. Sh.33,000tu kwa piece mbili (upana mita 1.5 kila moja) Delivery zipo kwa Dar na Mikoani natuma pia. 1 2 3 4 Whatsapp 0685269533
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sifa: Vyumba 3, kimoja ni master. Sebule kubwa Jiko na stoo yake Choo cha wageni Eneo kubwa na la kutosha, Unalizia rangi, tiles na ceiling board unaaamia. Kwa mawasiliano zaidi: 0767077952 Tazama...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Jamaaan nina shida sana hio hela godoro inch 8 kwa laki tu niende kufanya interview Godoro Comfy 5 * 6 inch 8 limetumika miezi nane tu bei tsh 120,000 Bei imeshuka 100,000 0762165498 0778444669...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
JIPATIE SEMBE NA DONA SAFI NA KWA BEI NAFUU BEI Habari! Nauza unga safi wa sembe na dona kwa bei nafuu. Kwa wakazi wa Dar es Salaam unaletewa popote ulipo kwa bei hizo hapo chini. Kwa wakazi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Brand new display for Motorola G6 Kioo kipya cha motorola G6 Tsh 80,000/
0 Reactions
0 Replies
466 Views
Zipo sababu kadhaa kama ifuatavyo, 1-Kuto pata maji ya kutosha. Vigae vina hitaji maji ya kutosha kabla ya kubandikwa, hii ni kwa sababu huwa vinatengenezwa na ukavu na kupelekea kunywa maji...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
OFA! OFA! OFA! Riwaya Kali ya kusisimua, yenye visa na mikasa "MLIO WA RISASI HARUSINI" Ipo Sokoni Kwa gharama nafuu kabisa. Softcopy =. 8,000/= Hardcopy=. 15,000/= RIWAYA: MLIO WA RISASI...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari waungwana. Kwa wote wanao hitaji fenicha Flemu za milango Milango Vitanda Meza Viti Madawati n.k Kwa kutumia miti ya A-Mbao ngumu Mpilipili Mnofu Mvule Mkongo B-Mbao za wastani Msedelea...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
HABARI NJEMA NAUZA VIWANJA SQURE METER MOJA TSHS 19500/= MAENEO YA MPIGI MAGOE MBEZI KM 7 MPAKA STAND YA MAGUFULI UMEME NA MAJI YA DAWASCO YAPO. UKUBWA WOWOTE UNAOUTAKA (DALALI ANAKARIBISHWA 10%)...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Clean title deed 150 acres 400 millions TSH Well developed area 7 kilometres from Morogoro Town Few minutes from Morogoro Dodoma road Ideal for Agriculture or any investment...
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Back
Top Bottom