Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wakuu. Nimejifunza udereva mikoani, kwa sasa nahitaji mtaalam wa kuendesha town center anipe mafunzo, gari itakuwa yake, kwa sasa bado sijaagiza gari yangu. Malipo maelewano Piga 0713 039 875
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Samsung A72 RAM :8GB STORAGE: 128GB SIMU HAINA TATIZO LOLOTE-IMETUMIKA MIEZI MIWILI TU, FULL BOXED INCLUDING RECEIPT NAIUZA KUTATUA CHANGAMOTO LOCATION :DAR ES SALAAM- UBUNGO SURVEY PIGA SIMU...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Get standalone electronic signature system that allows you to sign your documents digitally while keeping the public and private keys secure. It Supports multiple digital signature formats...
1 Reactions
2 Replies
641 Views
*Bei Rahisi *Vifaa vyenye ubora *BRAND TOFAUTI TOFAUTI Cordless drill Jigsaws, circular saws. Generators and grinders pamoja na drill bits na misasa. TUPO KKOO MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hizi motor ni AC na sio DC hazina battery Zina uwezo wa kusukuma gate lenye uzito wa tani 1 na kilo 200 (1200kg) Contact us : Call/WhatsApp: +255745626241 Price : 450,000\= Zimebaki Sita
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niko Morogoro...nina bajeti ya mil2.5, shida yangu ni gari ndogo ya kutembelea. Ikiwa pamoja na hizi. Premio Vitz Nissan march Carina Corrola Auris Au yyte nyingine. Naomba msaada wenu kwa...
5 Reactions
42 Replies
7K Views
Kwa wakazi wa Bunju A na B tunafua nguo kwa machinery, tunafua nguo kwa kgs ni nafuu sana Zaidi ya kufua nyumbani kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba +255 62 466 2500
0 Reactions
0 Replies
501 Views
GENERATOR AND AIR COMPRESSOR SOLUTION We dealing with:- ■Generator ☆Selling generator Used and New ☆Preventive and Breakdown maintenances ☆Generator installation ■Air Compressor ☆Selling Air...
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Aina - Ayrshire Amezaa Mara mbili teyar, Hana mimba ni WA kupandisha ndama wa mwisho ana mwaka 1. Amekamuliwa mwaka mzima. Ko sahiv maziw yapo kidogo . Sema akizaa ni ngombe mwenye maziwa sana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mashine iko kwenye hali nzuri. Haijatumika bei laki tisa na hamsini elfu. Mazungumzo yapo. Karibuni
2 Reactions
38 Replies
18K Views
Pata nyumba ya vyumba vitatu, public toilet kwenye eneo lenye ukubwa wa mita 10 kwa 10 kwa shilingi milioni 7 tu. Pia Kuna nyumba ya vyumba vitano kwenye uwanja wa mita 20 kwa 15 kwa shilingi...
2 Reactions
4 Replies
873 Views
Nauza sewing machine millioni moja Overlock machine millioni moja Button lock machine millioni nne Button machine millioni tatu Napatikana Dar Free delivery kokote Bei inapungua Namba zangu ni...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Pata king'amuzi cha DSTV mpaka nyumbani kwako kikiwa kimekamilika kila kitu pamoja na offer ya mwezi mmoja, na gharama ya kusafirisha mpaka kwako na kukufingia ni juu yetu kwa bei ya Tsh. 79,000...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari . Ni sehemu gani ndani ya jiji la Mwanza wanauza kanzu kali na mavazi mengine kama hayo?
0 Reactions
1 Replies
905 Views
Hello ndugu, natafuta software developer ambao wanaweza ku-develop software from the scratch. Nina mawazo ya kutengeneza software kadhaa hivyo yeyote mwenye uwezo huu, tuwasiliane. NB. Nahitaji...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Packline Company Limited,ni kiwanda kinachozalisha na kuuza mifuko ya khaki kwa gharama nafuu,baadhi ya bei zetu ni kama ifuatavyo 2kg ziko 1600pcs bei ya katoni Tsh 64,000 3kg ziko 1280pcs kwa...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari Leo nawaletea namna bora kwa wafanya biashara kuuza bidhaa zao kupitia mifumo ya kisasa ya teknolojia maarufu kama e-commerce e-commerce ni tovuti /website ambazo zinampa mteja nafasi ya...
7 Reactions
24 Replies
4K Views
Property investors company inautangazia umma juu ya uuzaji wa viwanja kwa bei ya offa maeneo ya 1. Madale - 28,000/= kwa sqm 2. Bunju - 20,000/= kwa sqm 3. Vikawe - 8000/= kwa sqm 4. Mwasonga -...
1 Reactions
272 Replies
39K Views
Habari. Ninampango wa kuanzisha biashara inayo hitaji kuonekana kinachouzwa ndani na office kidogo iwe na muonekano mzuri kati ya milango hii upi ni mzuri na bei yake ni nafuu.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…