Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Model: Panasonic Ina access, CD/DVD, flash, SD card Unafanya kazi vizuri (good conditions) Location: dar WAT: 146 Bei: 400,000/ tzs Mobile: 0785 857564
3 Reactions
22 Replies
5K Views
Viwanja KIBAHA - PANGANI - Lumumba Street. -Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana. -Mradi upo kilomita chache kutoka Loliondo Stand na kwa njia nyingine waweza pitia Kibamba Shule. -Ni sehemu nzuri...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Habarini, nauza fremu kubwa, nzuri ya biashara ipo Tabata Segerea mwisho opposite na stand ya daladala tsh 12.5 Milioni. Sifa zake: Imelipiwa kodi ya mwaka mmoja hadi September 2022. Kwa bei...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Ina hitajika aina hii ya Land rover Rangerover
0 Reactions
6 Replies
905 Views
Habari!! Kiwanja kinauzwa kigamboni mwembe mdogo karibia na chuo cha afya cha kigamboni kimebaki kimoja mitaa 35 kwa 35 bei ni million 4.5 (4,500,000) kutoka ferr mpk kona ya chuo ni km 22...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
NAHITAJI NAME TAG Natumai ni wazima wa Afya, kwa wagonjwa Allah awape uzima. Ndugu zanguni nina shida kubwa sana , nahitaji kununua "Name Tag" Yoyote anaweza kunisaidia wapi nitapata naomba...
2 Reactions
2 Replies
590 Views
Simu inauzwa, ni Xiaomi Poco M3 RAM:4GB ROM: 64GB RESOLUTION:2040X1080(full HD) Camera:Nyuma 48mp Mbele:16mp Betri:6000mAh Simu imetumika miezi minne tu! Ni nzima haina Tatizo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa! Kama kichwa kinavyojieleza.niko mwanza nahitaji creti zikiwa na chupa zake tupu Kati ya 150-200. Ofa tutaongea Mana biashara ni maelewano
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Mzan aina ya Galaxy mpya unauzwa elf 80 tu...Upo kigoma mjin Mawasiliano: 0762990097
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Chumba Choo ndani (Masta) na Sebule. Maji ya dawasa/bomba, Umeme luku watatu. Mahali: Mbezibeach Makonde Kodi ya Mwezi: Tshs 100,000 Maelezo Zaidi: 0716442950
0 Reactions
66 Replies
9K Views
Our company was founded in January, 2019 on the principle of warm, friendly, and efficient service. Our staff knows how to get the job done, and we often exceed the expectations of our clients. We...
0 Reactions
0 Replies
535 Views
Natafuta gari kati ya aina ya corola (toleo lolote zile old model), toyota duet, carina old model, vitz zile za zamani au aina yoyote ile namba A, B au C itakayokua ya bei rahisi (3-2 mil), kwa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wadau, Natumai nyinyi ni wazima nna mdogo wangu hapa yupo interested sana kuwa chef ila changamoto kubwa ni wapi pa kuanzia; matokeo yake ya kidato cha nne hayakuwa mazuri kwaio...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Bei ni fixed Suzuki beba iko vizuri. Haina tatizo lolote bei 3.5mil Ipo Dar
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Karibu ujipatie kaunda suit na senator suit kwa bei rahisi kabisa kutoka kwangu fundi wako ENSETH TAILORING.(Bei ni Elf 55)kwa kitambaa super no 1 na 35 kwa namba 2.karibu sana na natuma mikoa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu Nahitaji saa za ukutani zenye marembo, ni wapi hapa Dar es salaam nitazipata?
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Model 2006 1490 cc Price 12.5 Inamiezi 6
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Shamba lenye ukubwa wa ekari 4 linauzwa. Shamba liko Kimbiji wilaya ya Kigamboni, Dsm. Shamba liko mita 800 kutoka barabara kubwa ya Kigamboni Pembamnazi. Bei ni mil 7 kwa kila eka. Umeme upo...
5 Reactions
62 Replies
10K Views
Habari wadau, nna 6.5M ila nahitaji gari mpya within 6-12 months niwe nimekamilisha mkopo kama kuna mtu anafahamu napoweza kupata hii huduma msaada tafadhali! NB:Nahitaji IST specifically for...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
iphone 7 plus 32 gb 570,000 iphone 7 plus 128 gb 620,00 warraty mwaka mmoja free 1 original battery by apple Mawasiliano piga 0652472486
1 Reactions
0 Replies
905 Views
Back
Top Bottom