Bei mil 10.5
Engine 1AZ
engine volume: cc 1900
Full AC Full kipupwe
kms run 97,000
hakuna tatizo lolote ndugu mteja
Document zipo originale
text/call 0625750755
Gari ipo Dsm inakusubiri wewe
Ninauza kiwanja changu kipo Mapinga, umbali wa km 3.5 kutoka Mbweni mwisho na 2.5km kutoka kambi ya jeshi la anga. ukubwa ni sqm 617. Eneo limekuwa surveyed na nina document halali za umiliki...
Kiwanja kipo sehemu nzuri Kibaha - Kiluvya huduma zote zipo
Maji, umeme bei ni 4,800,000/= maelewano yapo kwa ukubwa 20/20 mawasiliano zaidi 0717610089
Natafuta gari ndogo aina ya nissan iwe patrol au safari, ikiwa short chassis yenye muonekano mzuri itakuwa vizuri zaidi; iwe inatembea, rangi ikiwa nyeusi/kijivu ni bora zaidi na iwe imepanda juu...
​Natanguliza heshima kwenu wakuu. Natengeneza Business Cards kama sample zinavyoonekana kwenye picha hapa chini.
Kuna aina nyingi sana hapa nimeweka mifano tu. (Vilevile ni pamoja na...
Tunauza feni za kuchage pia zinatumia umeme Zina redio USB bloototh ziko vr kwa matumizi ya yumbani na oficn zinakaa masaa6 bila kutumia umeme unaweza kuichage tupo kariakor mtaa wa msimbaz kwa...
Eneo la ekari moja linauzwa Kerege Wilaya ya Bagamoyo
Eneo ni tambarare na lipo 2.5 km kutoka barabara kuu ya Bagamoyo
Limezunguushiwa fence ya seng'enge
Bei 35milion(maongezi yapo)
Habari wakuu nauza fridge kubwa ya hisense imefanya kazi miezi miwili tu bado iko kwenye hali nzuri mnoo. Bei ya fridge ni 850,000.
Pia nauza godoro 80,000 na kigari cha kubebea watoto wadogo...
kitanda size yake ni 5*6 (yani tano kwa sita, Urefu futi sita, upana futi tano)..
Kwa maana hio kitaendana na Godoro la size hio au pungufu na si zaidi..
Chaga zote ni nzima na zinakaza vizuri...
Outdoor Air Condition Gas Imejaa sana
ni Mpya kama inavyoonekana wakuu.
usafiri unapewa buku 5.
Ipo Kijitonyama (Kijitonyama iko Dar es salaam kwa wenzangu na mm wa mikoani)
Bei laki Tatu na...
Nyama ya nguruwe mbichi safi kabisa inapatikana kwa bei ya chini. Mbichi Kilo @8500 jumla kuanzia kilo 5 hadi 300.
Unaletewa popote ulipo free delivery .DSM
0659 190 552
Okay naswali kwa wakazi wa Dar ni wapi wanauza mitumba grade one au two mizuri ya nguo za watoto mana mmi hununua zile za jero Ilala za wakubwa lakini biashara inaenda taratibu nataka nianze za...
Ninauza mchele super 1500Tshs kwa kilo. Nakusafirisha mzigo kuanzia kg100 kwa wateja wa Dar es Salaam utapokea mzigo wako Mbezi. Pia, kwa wanaohitaji kununua mchele/mpunga kwasasa kwaajili ya...
Natumai wote tu wazima.
Nahitaji nyumba ya kupanga Moshi mjini katika mitaa ya Rau, Ushirika au Shanti town. Nyumba iwe na vyumba 3 inayojitegemea. Bajeti yangu ni kati ya shilingi za kitanzania...