Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari nina biashara yangu mjini Kahama maeneo ya Mhongolo. Nahusika na uuzaji wa bia za kampuni ya TBL pamoja na soda za kampuni ya CocaCola, pamoja na pombe zingine kama konyagi, Kvant n.k...
5 Reactions
30 Replies
5K Views
Ram 4gb HDD 250 battery 3hours Kipengele housing ina creck Tu Bei 260k
0 Reactions
2 Replies
860 Views
Yellow one 600cc almost new for 6m(Tsh) black one 650cc used ktk mint condition for 4m(Tsh) Location: Salasala (DSM) contact (0626409908)
1 Reactions
0 Replies
833 Views
nahtaj pkpk used ya bei nafuu.kama unayo tuongee biashara.. ila uwe dar es Salaam tu. pkpk nayohtaj ni kati ya kinglion, fecon na sinoray tu basiii.. boksa na tvs sihtaji..mawasiliano nione inbox
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Machine ya kukamua Juisi ya miwa inauzwa imetumika kwa miezi sita na list yake ipo.Ipo vingunguti stand barabara ya kwenda airport. Bei ni Sh.800,000/= maongezi yapo bei inashuka haina tatizo...
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Hi..nauza duka languo lenye nguo zakike an zakiume na kodi ya miezi miwili imebaki. Duka lipo Kigambon ferry.. ninaliuza kwa haraka sababu nataka kusafili kuamisha Makazi ..kwamtu aliye serious...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau. Leo katika mwendelezo wa kuangazia masomo na mijadala ihusuyo nyumba na ujenzi, Leo tutaangazia mahusiano ya mfumo wa umeme hatua 1 na lipu/plasta. Yapo mahusiano makubwa kati ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Electrical popcorn machine inauzwa, Ipo katika hali nzuri sana ilitumika kidogo ikawa imekaa tu ndani Bei 200,000/= (haipungui) Location: kunduchi mtongani Call 0762 854563
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, Ninataka kununua sound proof kwa ajili ya studio nahitaji maelekezo kama kuna mdau humu ndani anauza kitu kama hiyo nitafurahi sana. Wengine wanaita acoustic material, aina yoyote...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Wataalamu nisaidieni nikitaka kujenga ukumbi sound proof ambamo hata upige yowe vipi Sauti isitoke nje nitumie material gani na je hizo material zinapatikana Tanzania na zinapatikana wapi ni za...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wakuu wale wazee wa maofisini ambao kila gazeti lazima mnunue, usilimbikize gazeti ulizosoma ofisini, ninanunua Gazeti used kwa kilo moja shilingi elfu moja 1000/TZ SH. Hata kama una kilo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa, Hii ni Mara ya Tatu naleta threads yangu ya TANGAZO la biashara Cha kushangaza kila nikiweka TANGAZO wanafuta Naomba kujua Hii ni biashara haramu? Nini nimekiuka kwenye hili...
4 Reactions
24 Replies
6K Views
ANC ASSOCIATES is a Certified Public Accountants in Public Practice Firm registered by the National Board of Accountants and Auditors of Tanzania (NBAA) as Audit and Accounting firm and issued...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
nauza hizi mashine za Stationary..chagua unayoipenda hapo..njoo na ofa yako nzuri kabisa ..tuafikiane uchukue bidhaa.. NB. Zimeharibika hazifanyi kazi..ila unaweza ukazirekebisha zikapiga mzigo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari Natafuta mayai kisasa kwa bei ya jumla.. Nipo kimara, DSM Cont: 0745098591
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Model: Panasonic Ina access, CD/DVD, flash, SD card Unafanya kazi vizuri (good conditions) Location: dar WAT: 146 Bei: 400,000/ tzs Mobile: 0785 857564
3 Reactions
22 Replies
5K Views
Viwanja KIBAHA - PANGANI - Lumumba Street. -Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana. -Mradi upo kilomita chache kutoka Loliondo Stand na kwa njia nyingine waweza pitia Kibamba Shule. -Ni sehemu nzuri...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Habarini, nauza fremu kubwa, nzuri ya biashara ipo Tabata Segerea mwisho opposite na stand ya daladala tsh 12.5 Milioni. Sifa zake: Imelipiwa kodi ya mwaka mmoja hadi September 2022. Kwa bei...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Ina hitajika aina hii ya Land rover Rangerover
0 Reactions
6 Replies
898 Views
Back
Top Bottom