Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu nahitaji gari tajwa hapo juu,aliyenayo anicheki pm tumalize biashara.
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Tunauza feni za kuchage pia zinatumia umeme Zina redio USB bloototh ziko vr kwa matumizi ya yumbani na oficn zinakaa masaa6 bila kutumia umeme unaweza kuichage tupo kariakor mtaa wa msimbaz kwa...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Eneo la ekari moja linauzwa Kerege Wilaya ya Bagamoyo Eneo ni tambarare na lipo 2.5 km kutoka barabara kuu ya Bagamoyo Limezunguushiwa fence ya seng'enge Bei 35milion(maongezi yapo)
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari wakuu nauza fridge kubwa ya hisense imefanya kazi miezi miwili tu bado iko kwenye hali nzuri mnoo. Bei ya fridge ni 850,000. Pia nauza godoro 80,000 na kigari cha kubebea watoto wadogo...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
kitanda size yake ni 5*6 (yani tano kwa sita, Urefu futi sita, upana futi tano).. Kwa maana hio kitaendana na Godoro la size hio au pungufu na si zaidi.. Chaga zote ni nzima na zinakaza vizuri...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Outdoor Air Condition Gas Imejaa sana ni Mpya kama inavyoonekana wakuu. usafiri unapewa buku 5. Ipo Kijitonyama (Kijitonyama iko Dar es salaam kwa wenzangu na mm wa mikoani) Bei laki Tatu na...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Nyama ya nguruwe mbichi safi kabisa inapatikana kwa bei ya chini. Mbichi Kilo @8500 jumla kuanzia kilo 5 hadi 300. Unaletewa popote ulipo free delivery .DSM 0659 190 552
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Carina TI Full AC Bei mil 4.5 Ipo Dsm
0 Reactions
3 Replies
826 Views
Okay naswali kwa wakazi wa Dar ni wapi wanauza mitumba grade one au two mizuri ya nguo za watoto mana mmi hununua zile za jero Ilala za wakubwa lakini biashara inaenda taratibu nataka nianze za...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Habari wakuu na poleni na majukumu, naomba msaada kwa mtu anaye jihusisha na Biashara hii iwe ni jumla au rejareja.. namba yangu ni 0673714012
0 Reactions
0 Replies
595 Views
Nyumba inauzwa kariakoo ina angaliana na soko Bei bilion 2 maengezi yapo Kwa mawasiliano zaid 0766112170 Karibuni sana
0 Reactions
4 Replies
823 Views
Ninauza mchele super 1500Tshs kwa kilo. Nakusafirisha mzigo kuanzia kg100 kwa wateja wa Dar es Salaam utapokea mzigo wako Mbezi. Pia, kwa wanaohitaji kununua mchele/mpunga kwasasa kwaajili ya...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Natumai wote tu wazima. Nahitaji nyumba ya kupanga Moshi mjini katika mitaa ya Rau, Ushirika au Shanti town. Nyumba iwe na vyumba 3 inayojitegemea. Bajeti yangu ni kati ya shilingi za kitanzania...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Nipo DSM nahitaji mayai ya bata bikini yanapatikana wap?
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Fundi nguo anahitajika Awe na miaka 24 - 38 Awe na uzoefu usiopungua miaka 3 Awe anajua kushona nguo za kike vizuri Awe Mchapakazi, Muaminifu na Mtafutaji Ofisi ipo Dar Kinondoni Studio wasiliana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Je, gari la mizigo likiandikwa "transit goods" huwa inamaanisha nini? Kuna watu wengi hawafahamu. Itabidi kupitia JamiiForums wapate nafasi ya kujifunza. Wenye majibu sahihi tafadhali tupatieni...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa Tshs 25,000 Location Bunju, 0625750755
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wapendwa kaka zangu na dada zangu naomba niulize gharama za ujenzi wa nyumba vyumba vitatu uwanja upon Chalinze msoga maeneo ya hospital iwe na master room,2rooms sitting na dining just...
0 Reactions
101 Replies
145K Views
Nyumba ipo Kashai, Kashenye, Bukoba, ina vyumba vitatu vya kulala pamoja na sebule, ina umeme na maji, pia ina eneo kubwa la kujenga nyumba zaidi ya mbili, bei ni milioni 26, bei inazungumzika...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Harrier new model Used from japan 2360cc Mwaka 2008 Sunroof Rimsports Bei 33.8m pamoja na usajili call 0715747617
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom