Kuanzisha shule ya chekechea

Unaajiri walimu wawili na wewe mwenyewe mnakuwa watatu, sekretari mmoja ambaye pia ata act kama cashier na registra, mhudumu na mpishi uji. Ada milioni moja kwasababu utawakaririsha maneno ya kingereza. Weka lengo la kupata watoto 100. Hapo lazlma utatoka mkuu , utaitwa milionea within two years.
 
TARATIBU ZA KUANZISHA NA KUSAJILI SHULE
Ili kuanzisha na kusajili Shule yenye ubora unaostahili wadau
hawana budi kufuata hatua mbalimbali kama zilivyoainishwa
kwa kina katika “Mwongozo wa Usajili wa Shule wa mwaka
1982”. Kwa kifupi hatua hizo ni kama.
 Hatua ya kwanza: Kibali cha Kujenga Shule
Mwenye nia na uwezo wa kuanzisha Shule atume maombi
ya kutaka kujenga shule kwa maandishi kwa Afisa Elimu
Kiongozi. Maombi haya yapitishwe kwa Afisa Elimu wa
Wilaya Shule itakapojengwa na Afisa Elimu Mkoa yakiwa
na viambatisho vifuatavyo:
Rejea mwongozo wa andiko la mradi la Wizara, Bank
Statement yenye zaidi y ash. Milioni 62,000,000/=
Nakala ya hati/offer/uthibitisho wa kumiliki ardhi
iliyotolewa kwa matumizi ya shule inayotambu8lika
kisheria na serikali kuu ya mtaa au kijiji ( eneo
lisipungue ekari 71/2 kijijini na 31/2 mjini) Michoro
ya majengo ya shule inayoonyesha vipimo kwa
kuzingatia viwango vya Wizara na Elimu ya mafunzo ya
ufundi, Ramani ya shule inayoonyesha mpangilio wa
majengo na viwanja vya michezo, Cheti cha usajili wa
kampuni, shirika , umoja , NGO iwapo shule ni ya
jumuia na katiba yake au mkataba wa maridhiano.
Endapo mdau anataka ikutumia jina la Mtakatifu
( Saint ) awasilishe kibali toka kwa askofu wa dini
inayotambulika kinachoidhinisha matumizi ya jina hilo.
Kamishina wa Elimu akiridhika na maombi hayo atatoa
kibali cha kujenga Shule kimaandishi, ndipo ujenzi
utaanza.
 Hatua ya pili: Kuthibitishwa kuwa Mwenye Shule na
Meneja wa Shule
 Hatua ya Tatu: Maombi ya Kusajili Shule
 Usajili wa Walimu
 Mwongozo wa Usajili wa Shule 1982
REJEA WEBSITE YA WIZARA YA ELIMU
 
Nashukuru kwa maelezo mazuri
 
Unaajiri walimu wawili na wewe mwenyewe mnakuwa watatu, sekretari mmoja ambaye pia ata act kama cashier na registra, mhudumu na mpishi uji. Ada milioni moja kwasababu utawakaririsha maneno ya kingereza. Weka lengo la kupata watoto 100. Hapo lazlma utatoka mkuu , utaitwa milionea within two years.
Hahahahaaaa hapo patamu
 
Ndugu zangu wana jf naombeni mnieleweshe juu ya hili swala mimi ni mwslimu wa s/m moja hapa Dodoma nahitaji kufungua shule ya chekechea nifuate hatua zipi hasa asanten
Mtoa mada ulifikia wapi hili wazo?
 
Back
Top Bottom