Fundi_Mjasiriamali
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 748
- 1,329
habarini wanajamvi!? naulizia ni wapi wanapouza hizi manual heavy duty blender( brenda) ambayo haitumii umeme kama hiyo hapo pichani.
Achana na hivi vidogo vidogo vinavyouzwa na wamachinga, nahitaji kubwa kama hiyo kwenye picha kwaajili ya shughuli zangu za kuuza juisi kwenye mkokoteni wangu mdogo, ambao nazunguka nao mtaani.
Naombeni msaada wenu wandugu.