Habariniwakuu na pia napenda kuwapa pole na majukumu ya ya Kila siku
husika na mada tajwa happy juu kuwa nyumba inauzwa 10ml. Ipo pugu kimyamwezi umeme upo pia Hadi bomba la maji lipo Kwa...
Mashine ya kusaga onauzwa
mashine bado ipo kwenye hali nzuru kabisa , ina mwezi mmoja tangu itoke dukani
aina ya mashine ni YD , HP 20 , pia inatumika kuchania mbao au kumwagilia
mashine ipo...
Hii ni miche ya mikomamanga meupe,inaanza kuzaa mwaka mmoja hadi miwili,ni matamu zaidi na mbegu zake laini zinatafunika...inakuwa zaidi maeneo ambayo udongo wake hautuami maji.
Mche mmoja ni elfu...
Biashara ya utoaji wa huduma za mikopo kwa ajili ya ukarabati na maboresho ya nyumba ni moja ya njia za kujenga utajiri kupitia uwekezaji huu.
Hii sio njia ya moja kwa moja ya kuwekeza kwenye...
Habari wakuu
Nauza hii scan tool kwa ajil ya kupimia matatizo kwenye gari
Inasoma faults code mbalimbali
Inafuta faults code
Wireless connection
Internet browser
Inapokea updates
Nk.
Price...
Teknolojia makini kwa wafanya biashara makini, jiunge sasa na StraightBook mfumo unaomuwezesha mfanya biashara au mjasiriamali kuendesha biashara kwa mafanikio. ukiwa na straightbook huepusha...
Wajumbe kwema...
Nina prado 3rz... 95 series (almaarufu Prado Mchaga).
Nahitaji mtu mwenye prado ya 1kz. Tufanye exchange nitafanya Top up kidogo ikiwa condition ya gari yake ni bora zaidi...
Uzuri wa nyumba sio uimara wa msingi au boma.
Uzuri wa nyumba ni pamoja na urembo wake kuanzia nje na mpaka ndani. Pia uzuri wa nyumba ni pampja na muonekano wake, muonekano wake hutegemea urembo...
Tiles za mawe za kuuza. Bidhaa zetu zote ni zinazozalishwa katika Arusha. Tunakomboa nchi kote.
Bei Huaanza kutoka 30,000 tzs kwa m2 hadi 50,000 tzs kwa m2 kwajili ya wall cladding tiles.
Paving...
BEACON NI NINI?
Haya ni mawe yanayopandwa ardhini kwa lengo la kuonyesha mipaka ya eneo ambalo tayari limeshapimwa.
Kikawaida uwa yanapewa herufi na namba kwa mfano ZEY 215.
NINI INAPASWA UJUE...
Ujenzi wa ghorofa ni nafuu, kama tu utafuata taratibu.
1: Kwanza hakikisha unatafuta mtaalamu ambae atakuandalia ramani (architectural drawings) ambae kupitia mtaalam huyo hata hakikisha unapata...
Topcon ipo na vifaa vyake vyote tayari kwa kutumika, ni used japo haijatumika sana kama inavyoonekana kwenye picha
Specifications; overall length 192mm, effective diameter 30mm, magnification...
Habari Wana JF, nimepata usumbufu sana kwa wakati nafungua kampuni brela, haswa kwenye mambo ya kuanda MEMARTS. MEMARTS yangu ilikataliwa Zaid ya mara tano kwa makosa mbalimbali lkn hatimaye...