Simamia biashara yako na StraightBook

Simamia biashara yako na StraightBook

Carldozo

Senior Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
138
Reaction score
190
Teknolojia makini kwa wafanya biashara makini, jiunge sasa na StraightBook mfumo unaomuwezesha mfanya biashara au mjasiriamali kuendesha biashara kwa mafanikio. ukiwa na straightbook huepusha upotevu wa mali bidhaa au pesa, pia huokoa muda ambao mfanya biashara anautumia kufanya mahesabu au ukaguzi wa biashara yake kiujumla, kwa sababu yote haya hufanywa kwa urahisi ukiwa na straightbook.
kwa maelezo zaidi tembelea www.straightbook.com au kwa mawasiliano piga simu namba 0759360145 au 0628205715
IMG_20210110_162749_317.jpg
IMG_20210107_085543_467.jpg
1.PNG
 
Nguvu yote hiyo nilijua bure ,sasa biashara ndani ya biashara Kuna usalama hapo.

Si Bora niendelee na calculator yangu tena nakuwa makini na karibu zaidi na Biashara yangu maisha ya sasa Kila kitu kinabadilishwa kua biashara ili mtu ale. Any way usijali utapata .
 
Karibu
 
mfumo mzuri ndio tunaotumia offisin ingawa kuna changamoto chache zipo
 
Back
Top Bottom