Nafasi za masomo nchini China kwa wanafunzi wa kidato cha nne

STALLEY

JF-Expert Member
May 5, 2012
623
219
Je, wewe ni mwanafunzi uliyemaliza kidato cha nne?
Je, una ndoto siku moja uje kusoma nje ya nchi

Kama jibu ni ndiyo. Nakutangazia nafasi za masomo nchini China kwa wanafunzi wanaojifadhili wenyewe.

Kozi ni Internationa foundation program ambayo utasoma kwa MWAKA MMOJA kwa wanafunzi wa science na biashara na ukihitimu unaingia DEGREE chuo chochote nchini China. Vyuo na kozi zinatambuliwa na TCU na ada ni nafuu.
Kozi za degree unazoweza kusoma baada ya kuhitimu FOUNDATION PROGRAM

CIVIL ENGINEERING
AEROSPACE ENGINEERING
MECHANICAL ENGINEERING
BUSINESS ADMINISTRATION
INTERNATIONAL TRADE
ELECTRICAL ENGINEERING
COMPUTER SCIENCE
MEDICINE&SURGERY
MINING ENGINEERING
PETROLEUM ENGINEERING
CHEMICAL ENGINEERING
FINANCE
ACCOUNTING
Ada ya INTERNATIONAL FOUNDATION COURSE NI 4000$* kwa mwaka.

Kwa wanafunzi wa MASTERS pia nafasi zipo kwa kozi zilizotwajwa hapo juu

Changamkia nafasi hii isikupite karibuni sana
Kwa mawasiliano
+8613065131363
Whatsapp
 
Je, wewe ni mwanafunzi uliyemaliza kidato cha nne?
Je, una ndoto siku moja uje kusoma nje ya nchi

Kama jibu ni ndiyo. Nakutangazia nafasi za masomo nchini China kwa wanafunzi wanaojifadhili wenyewe.

Kozi ni foundation program ambayo utasoma kwa mwaka mmoja kwa science na biashara ukifaulu unaingia degree chuo chochote nchini China. Vyuo na kozi zinatambuliwa na TCU na ada ni nafuu.

Changamkia nafasi hii isikupite karibuni sana.

mkuu naomba contact zako
 
Hiyo course ya foundation inafanyikia china au bongo. Lete gharama zote za hiyo course. Kuna dogo anataka kufanya aerospace engineering
 
Hiyo course ya foundation inafanyikia china au bongo. Lete gharama zote za hiyo course. Kuna dogo anataka kufanya aerospace engineering
Mkuu inafanyika china na ni mwaka mmoja then anaingia aerospace engineering tuition fee ni 3500$
 
Mkuu hebu fafanua vizuri,
Gharama zao zikoje,course wanazotoa ni zipi?na requirements za kusoma hizo course zimekaaje,ili watu waweze kujua kinagaubaga na kujiandaa kisawa sawa!!!
Mkuu course inaitwa international foundation program ni ya mwaka mmoja akihitimu anaweza kujiunga na program yoyote ya degree .course hii ni kwa watu wa scince na biasharA.tuition fee ni 3500$.hii nikwa wanafunziwa kidato cha nne wanaotaka kusoma njee.si lazima asome mpaka form6
Advantage ni kwmba itamchuku mwaka mmoja badala ya miwili kuanza degree yake
Qualification ni awe na sifa zinazomuwezesha kuingia kidato cha tano
 
Je, wewe ni mwanafunzi uliyemaliza kidato cha nne?
Je, una ndoto siku moja uje kusoma nje ya nchi

Kama jibu ni ndiyo. Nakutangazia nafasi za masomo nchini China kwa wanafunzi wanaojifadhili wenyewe.

Kozi ni foundation program ambayo utasoma kwa mwaka mmoja kwa science na biashara ukifaulu unaingia degree chuo chochote nchini China. Vyuo na kozi zinatambuliwa na TCU na ada ni nafuu.

Changamkia nafasi hii isikupite karibuni sana.
Mdau mbona kwenye tangazo lako hakuna mawasiliano kama watu wanaitaji kukutafuta watakupataje na ingekua vyema uka orodhesha kozi zote ili wadau wapate nafasi ya kuchanganua vyema
 
Mdau mbona kwenye tangazo lako hakuna mawasiliano kama watu wanaitaji kukutafuta watakupataje na ingekua vyema uka orodhesha kozi zote ili wadau wapate nafasi ya kuchanganua vyema
Sorry mkuu nimeshaweka mawasiliano
 
Kidato cha sita kwa wanaohitaji nafasi za masomo nchini china kwa mwaka 2016 admssions ziko open tuwasiliane au kama unahitaji taarifa muhimu za vyuo vya china tuwasiliane kwa namba hiyo hapo juu
 
Back
Top Bottom