Karbu upate kilicho bora kbsa mayai safi yenye kiini Cha njano safi Kwa bei nafuu na ya punguzo kuanzia tray 5 utapata Kwa 13000tsh Kwa Kila tray na Kwa tray moja mpk 4 utapata kw tsh15000 nipo...
Make: nissan
Model:xtrail
Engine: yd22 common rail
Capacity: CC 2184
Fuel:diesel.
Price:10M
Transmission: manual(gear 7)
SPEED: 220 KM/HR
SABABU ZA KUUZA.
nimehamia shamba huku naona kama naitesa...
Eneo Lina ukubwa was metre 35 kwa 40 ni nusu heka lipo pembeni kidogo ya mji na linafaa kwa petrol station, yard au godown Bei ni mill 20 njoo dm kwa namba
Lipo karibu na sehemu iliyoandikwa...
Babu Kubwa Enterprises ni kampuni inayojishughulisha na uzalishaji, utengenezaji, ufungaji na usambazaji wa vyakula, matunda na viungo.
B.K Enterprises wanakuletea Unga bora wa lishe, Unga wa...
Habarini za muda huu wana jukwaa,,mhusika wa hii account nafanya biashara ya kuuza mayai ya kienyeji kwa bei ya rejareja kwa maana ya kwamba kwa sh.15,000/= tu wajipatia trei moja ya mayai...
[emoji599]SABASABA OFA[emoji599]
Pikipiki bure...!
PJA PROPERTY DEALERS tunafahamu kwamba unahitaji kiwanja na sasa Sabasaba hii hatukupi kiwanja peke ake bali tunakupa na kiwanja iliyosheheni ofa...
Kama unamiliki kampuni Iliyosajiliwa na una website yeyote ya mauzo mtandaoni. Unaweza ukaendelea kusoma.
Kwa wale wenye website tunajua kuwa, tatizo kubwa lililopo kwa sasa ni mfumo wa malipo...
Nimekuwa nikifuatilia kwa mbali sana na kuona ni jinsi gani siku za karibuni USD haitakuwa tena reserve currency ya duniani. Kuna mipango mkakati wa iliyonyuma ya IMF kufanya SDRs (Special Drawing...
Tunatoa huduma ya usindikaji samaki kisasa, samaki Hawa husindikwa kwa kutumia machine niliyotenegeza hapahapa Tanzania.
Machine yetu hutumia umeme na gas na samaki huchukua masaa saba...
Tunauza miti (mirunda) Kwa ajili ya ujenzi wa magorofa , nyumba za kawaida au matumizi mengine tuna mirunda takribani 900 PCs bei yetu ni nafuu sana
Mawasiliano. sangmelina85@gmail.com
Wenzangu mnaopenda kupendeza, natafuta sana kiatu cha vans cha mtumba, maana bei yake kutoka nje naona ya moto sana siwezi kufika.
Kama kuna anaweza kunisaidia kupata vans namba 39 ntashukuru sana...
Wadau salama. Naomba kujua ni mtaa gani Kariakoo wanakouza baiskeli hasa hasa za watoto.
Au kama sio Kariakoo, sehemu nyingine ambapo zinapatikana kirahisi.
Asanteni