Habari wana jamvi, me ni mmoja ya watu ambao nimekutana na simu nyingi zenye matatizo hayo, niseme tu sasa yamekwisha.
Haya matatizo ya emergency call hasa hasa yapo kwenye samsung nayo nafikix...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Mimi ni mwalimu pia afisa utumishi wa uma,ninayo habari njema kwenu, na watoto wenu, kuwa ninafundisha somo la kiingereza kwa weledi mkubwa na kwa gharama...
Ninahitaji gari la kupigia misele ya town kwenda kazini nk,lengo langu ni kununua kutoka kwa mmiliki wa Gari husika na sio Dalali.
Brand Ikiwa Toyota Itakua Vyema Sana
Budget ni 5.5 M
Itakua...
Vitabu zifuatavyo vinapatikana na vitaweza kukusaidia kwa kiasi kikubwa kupata elimu ya fedha na uwekezaji.
1. Increase your Finanncial IQ by Robert Kiyosaki
2. School of money by Olumide O...
Asalamu alykum ndugu zangu.
Nyumba inauzwa, Ina vyumba Saba(7) vya kulala na vyoo sita, Ina uwanja mkubwa na mabanda kwa ajili ya kufugia kuku yapo.
Bei ni milioni mia na hamsini,(150000000) ila...
Vyumba vitatu, kimoja masta
Limezungushiwa uzio wa matofali
Eneo ni kubwa
Umeme mlangoni
Liko kwenye barabara ya mtaa
Mita 500 kutoka barabara kuu inayoelekea Mtwara
Lipo Mkuranga
Kwa maelezo...
Masomo yanayofundishwa:
✓ Utangulizi wa makala (maana ya wholesaling real estate).
✓ Tofauti kati ya udalali wa majengo na kuuza majengo ambayo huyamiliki.
✓ Jinsi ya kuuza kwa uhalali.
✓ Kuwa...
PILI; Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo
Makala iliyopita nilikushirikisha jinsi nitavyofanya endapo nitakosa fedha kwa ajili ya kununulia nyumba ya...
Nauza simu yangu aina ya samsung jean 2, gb 32 ina hali nzuri sana, bei laki moja na nusu (150000). Nipo iringa mjini kwa ambae yupo mkoani naweza kumtumia au anaweza kuagiza mtu ambae yupo Iringa...
Hot Plot for sale beside na chuo cha Afya [emoji91][emoji537]
Kiwanja kipo Kigamboni mwembe mdogo , sqm 600 , 2km kutoka barabarani ya Mjimwema -- ferry , kiwanja kina kisima cha maji safi...
Ni kikundi cha vijana tunashughulika na utengenezaji wa mabango ya 2d, 3d, banner, write box tunapatikana sinza mori jirani na Duka la NATTY
Au waweza kutembelea ukurusa wetu wa Instagram...