Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

[emoji911][emoji911]RAMANI RAMANI RAMANI[emoji911][emoji911] ■TUNACHORA RAMANI KWA BEI NAFUU SANA ■TUNAKADILIA GHARAMA ZA UJENZI ■TUNA SHAURI AINA YA UJENZI ◇HATUA(STEPS) ● Andaa hitaji lako la...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini Ndugu, Nlikua naomba kufahamishwa bei ya matanki ya maji ya lita 1000 na 2000. Naomba nifahamishwe kuhusu product za simtank,polytank na kiboko. Nawasilisha
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kitanda pekee unakipata kwa Tsh. 120,000 tu Kipo Moshi mjini maeneo ya zara Simu namba 0718569091 au 0744883353
0 Reactions
0 Replies
618 Views
YOM: 2006 Engine: 2SZ vvti Capacity: 1290cc Automatic Petrol 124,000 Kms Full AC Full Documents . Price: TZS. 6.5m . Location: Mbezi - Dsm . Call: 0717 650800
2 Reactions
290 Replies
32K Views
Umejifunza ama unajifunza lugha ya kigeni na unawaza wapi unaweza kupata watu wa kuzungumza nao ili kukuza umahiri wako wa kuzungumza? Usijali..Fika Tanzanite Elites Languages and consultants...
1 Reactions
0 Replies
394 Views
  • Closed
Samsung Galaxy A32 4G Network 64 GB internal Storage Single Sim Card No Scratch No Dent Comes with charger Call/text/whatsapp 0689341445 Price: Tsh.380,000/=
0 Reactions
12 Replies
1K Views
KILIMO NI BIASHARA, na nyenzo kuu muhimu ya Kilimo ili uweze kupata mavuno mazuri, ni kwa kuwa na System bora ya Umwagiliaji. JIPATIE SET HII KAMILI YA UMWAGILIAJI KWA 900,000/= Water Pump (3...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Natengeneza zawadi, kuprint pillows, cups, pia nafunga zawadi mbali mbali za maharusi, Send-off, birthday, Bila kusahau watu wa maofisini Notebook, bottle, executive diary set. Kwa mawasiliano...
0 Reactions
9 Replies
692 Views
Mfuko wa karatasi ya kaki wenye dawa muhimu umesahauliwa leo 15 Feb saa 10 alasiri kwenye mwendo kasi toka Morocco kwenda Kimara. Kama umeuona tafadhali piga simu no 0742957797. Ahsante.
2 Reactions
8 Replies
739 Views
Guys hamjambo? Baada ya kufukuzwa kazi nikachukua hela nikaaza biashara humu najua mpo watu mnatafuta mashuka mazuri na hamjayapata sasa mimi nimewaletea bei kitonga 52000 unaletewa mpaka ulipo...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
nb mwenye aliniomba nimtangazie ameshapata kazi:ahsante
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Vipya kabisa kwa sh 55,000Tsh kwa kimoja Piga 0715531232
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Umewahi kujiuliza pamoja na ukubwa wote kampuni kama ya coca cola kwa nini bado wanaendelea kujitangaza? 👉Idadi ya vinywaji vya Coca-Cola vinavyonyweka kwa siku moja ulimwenguni kote inakadiriwa...
9 Reactions
63 Replies
8K Views
Simu inauzwa Infinix Hot 10i 64GB Mali halali, mwenye nayo kapata dharura ana shida na pesa ya haraka. Price 150k. Location [emoji625]Dar es Salaam. 0676721372 | 0768315019
0 Reactions
0 Replies
581 Views
Habari wakuu, Moja kwa moja kwenye tangazo. We offer the following services 1. Shrub & hedges trimmings 2. Lawn restoration & turfing 3. Pest & Wedding control 4. Soil Preparation &...
2 Reactions
3 Replies
423 Views
Wana jf wenzangu ninataka kuchimbiwa kisima katika shamba langu liko Dodoma ili nitumie kwa umwagiliaji.naomba wanaofanya uchimbaji wa visima jitokezeni mnijuze gharama zenu ili nione yupi...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Samaritan Water Solution LTD ni wataalamu wa kuchimba visima kwa kutumia mitambo ya kisasa kabisa. Tunafanya survey kwa bei nafuu. Pia tunatengeneza machine za kuchujia maji kwa wale wenye visima...
3 Reactions
37 Replies
6K Views
Wana jf habari subwoofer yangu nauza Inatumia Bluetooth, flash, memorycad Pia kwa watu wenye sola wanaweza kutumia pia Volume 98 Bei 95,000 Nipo Chanika dar es salaam Mawasiliano 0623892902
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Macbook pro 5.1 Hdd 350 GB Ram 4 GB Size 15 inch Chaji mpaka masaa 3. kIPENGELE. Keyboard inastuck kwa hiyo natumia external keyboard ambayo ni wireless na ina mouse yake. Kingine ina creck...
0 Reactions
6 Replies
861 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…