Wadau natafuta chumba cha kupanga kwa wiki mbili maeneo ya kinondoni.
Mi ntakua dar kikazi Tar 27 March - 08 April, hivyo chumba kiwe furnished.
Maeneo ya kinondoni, au karibu na town.
Whatsapp...
Habari wana mzengo!
Nafanya biashara za kuagiza laptops, ipad, camera mitambo tools machines magari ,spare za magari ya kukata, Generators na nk , kama unataka kimoja wapo kati ya vitu nimetaja...
About US
Tzhosts is a Tanzania company that specializes in development, deployment and management of digital solutions for small and medium size businesses. We offer services and solutions across...
Tunauza trekta aina ya Lovol,
Lovol 754-75HP 4WD bei ni 53,000,000/= Tsh
Lovol 504-50HP 4WD bei ni 39,000,000/= Tsh
Trekta zetu ni imara, zenye nguvu na utumiaji wa mafuta mdogo.
Mfano; HP 75 4WD...
Hello bosses.
Kwa wale mnaohitaji kujifunza au kujiboresha katika Computer Programming karibuni kwenye community ya tech255.com ambayo imegawanyika katika sehemu 3
1) Website
Hapa utapata kozi...
Wanajamvi kuna mtu anafaham, wapii naweza agiza injini za boti, kama YAMAHA, PATSUN, HONDA, MARINER NA THE LIKES...
au walee wanaogaza magari Japan wanaweza kubalii ofa ya kuletaa mashine hizi...
Drone Computer tumekuwa kwa muda mrefu tunawashauri watanzania juu ya elimu ya vitu vya ki-electronics hususani computer ikiwemo mambo ya kuzingatia kabla ya kununua, vitu vya kufanya na vitu vya...
Mid-century architectural design yenye master bedroom 2, ina 170sqm. Kiwanja 25m x 25m.
Ina atrium katikati inayoruhusu mwanga kupita kwa wingi. Ina interior design pia.
NB: Inaweza kua modified...
Karibu nikuzie laptop na computer aina zote kama:
-HP
-DELL
-LENOVO
-APPLE
-FUJITSU
-ALIENWARE
-SAMSUNG n.k
Accessories aina zote zinapatikana kama:
-RAM (1gb 2gb 4gb 8g)
-Hard disk (180gb...
Huduma zetu.
1. Picha Mbao
2. Picha za Fremu za Kioo
3. Picha Saa
4. T.Shirt na Kofia
5. Vipeperushi
6. Business Card
7. Mabango (Banners)
8. Calenda
Tunafanya na huduma ya Online LATRA...
Kwa Tsh 77,000 tu!!
Unapata: Dish, Decoder HD, Cable, ( vifaa vyote ), kifurushi Cha family cha Tsh 29,900 na unapata fundi wa kukufungia bila kulipa gharama ya ziada!!
Ili kupata offer hii piga...
Hello colleagues;
I am looking for the reputable, experienced Software Development Company with experience in developing insurance systems preferably from India,Tanzania or Kenya for a joint...
Unawapa kitafunwa gani wageni wako?
Wateja wako wanafahamu kwamba, korosho ni kitafunwa pendwa zaidi?
Una nafasi ya kuzipata leo kwa bei ya jumla, zimeandaliwa vizuri kurudisha kumbukumbu.
Bei...
Mwenye kujua wapi miche ya mitiki inapatikana.
Nahitaji kwaajili ya kwenda kupanda kwenye shamba langu lililopo Mwanza.
Na wale wataalamu wa hichi kilimo cha mitiki kinaweza kukubali katika ardhi...
Habari!
Nauza Bajaj TVS KING ya 2022 MC 965 DSA imetembea km 1500.
Nimenunua 8,100,000
-Ina bima kubwa mnaita comprehesive ya mwaka 1, itaexpire 07/02/2024. Kwa 600,000
-ina latra ya 32000 expire...
*SAFETY BOOT ON SALE*
Nauza Safety boot aina ya Safety jogger. Namba 42 au 8. Ni heavy duty pia ni Oil resistant antislip. Ina chuma mbele. Ni mpya kabisa na box lake haijawai valiwa. Ina...