Attention all business owners! Are you looking to establish a strong online presence for your brand? Look no further than our website design services at KIKIWEB LTD! Our team of expert designers...
Habari ya jioni wakuu. Endapo unahitaji:
1. Kusajili kampuni,
2. Jina la biashara
3. Alama/nembo za biashara
4. Kufuatilia kibali BoT kwa ajili ya kampuni za kukopesha
5. Nk
usisite kunicheki...
Habari Wakuu,, Nauza Smartphone yangu Infinix hot 12 Play.
ROM GB 64
RAM GB 4 +3=GB 7
Battery 6000mAh
Simu Haina Shida yoyote ile na Pia inakaa sana na Chaji, Nmeitumia Mwezi mmoja tu na...
Nauza tv star x inchi 43 kwa bei tajwa.Tv hii ni smart kama unavyoiona na ipo Tegeta Dsm.Ni tv yangu halali,nilinunua dukani, ina box na vitu vyake vyote.risit ninayo. Maongezi kidogo yapo.
Kwa...
Habari wana jamii forum.
Naomba kupata msaada wa Mawasiliano ya mtu au kiwanda / agent yeyote anayeusika na utengenezaji wa materials za Box kama za kutengeneza cattons za sabuni ya mche.
Mfano...
NAUZA SAFETY BOOT ZA MTUMBA
sh 22,000
Size 41
Mahali:yombo-DSM
Zipo vizuri,
Ukihitaji picha au nirekodi video uone njoo WhatsApp
Ukihitaji naweza kukuletea mahali ulipo, ndani ya Dar
Simu no...
SIFA ZA MASHIMO HAYA;
•Hayajai
•Hutumia eneo dogo
•Hayana harufu
•Uwezo mkubwa wa kukabiliana na ardhi yenye maji
•Hutumia vifaa vya kisasa katika ujenzi wake
•Gharama za ujenzi ni nafuu
•Vifaa...
Ndugu wanajamii forum wenzangu..Mimi nafanya kazi ya UWAKALA WA FORODHA BODA YA TUNDUMA…kama unamzigo wako uwe una toka TANZANIA kwenda nchi yoyote kupitia boda ya Tunduma au uwe unatoka nchi...
Habari zenu
Kuna taa za nyuma za Toyota Harrier (chogo/tako la nyani) nimezipenda sana. Kwa Tz hapa naona bei juu sana kuna sehemu mil 1.2 kwingine hadi 1.6mil
Mwenye uzoefu wa kuagiza naomba...
Inahitajika gari ya kukodi box body kwa AJILI ya kusambaza mizigo kutoka Godown kwena sokoni.
VIGEZO.
1.Gari iwe na dereva wake.
2.Dereva atalipwa na mwenye gari.
3.Tani 3.
4.Gari itakodiwa kwa...
Inahitajika gari ya kukodi box body kwa AJILI ya kusambaza mizigo kutoka Godown kwenda sokoni.
VIGEZO
1. Gari iwe na dereva wake.
2. Dereva atalipwa na mwenye gari.
3. Tani 3.
4. Gari itakodiwa...
Inahitajika gari ya kukodi box body kwa AJILI ya kusambaza mizigo kutoka Godown kwenda sokoni.
VIGEZO.
1. Gari iwe na dereva wake.
2. Dereva atalipwa na mwenye gari.
3. Tani 3.
4. Gari itakodiwa...