Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ninauza shamba kubwa hekta 18 zilizopimwa karibu na ziwa huku Mwanza jamani nipeni maarifa namna ya kupata wateja linafaa kwa hoteli,kilimo,mifugo na apartments. Nipeni maarifa. 0622290094
1 Reactions
8 Replies
731 Views
Nauza kiwanja kipo Mongola ndege kwa bei ya Milioni Nane (8) kina ukubwa 18×20 Mimi ni muhusika mwenyewe na sio dalali kwa mawasiliano zaidi nipigie no 0718343299
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Niko mkoa wa Singida nauza laini zote tano za uwakala na zimesajiliwa kwa TIN number na leseni ni ya biasharaa ya nyumbani. Na pia Nina mashine ya CRDB. Kwa atakae itaka labda awe ndani ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nyumba yenye eneo kubwa inauzwa,ipo Kibaha kwa Mfipa,nyumba Ina vyumba vitatu,zikiwemo master mbili sebule kubwa na jiko. Ukubwa wa eneo ni sqm 700 kwa 210, Hati ipo. Vyote hivyo vinauzwa kwa bei...
1 Reactions
0 Replies
532 Views
Habari! zenu wanajamvi? Kama thread inavyo sema hapo juu Wakuu kunajambo lanitatiza sana Mimi nipo arusha kama ujuavyo watu wa arusha meno yao jinsi yalivyo haya vutii yanarangi Nimetafuta...
0 Reactions
123 Replies
33K Views
Sabufa zunne Offa 55k Moshi mjini 0744883353
0 Reactions
0 Replies
326 Views
Wadau hivi ni kweli taa hizi za mbu zina uwezo wa kuvuta na nzi. Vipi bei yake halali ni Tsh ngapi
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa bidhaa mbali mbali za magari, kama shock abs, brake pads original, CV JOINTS, piston rings, na tuna spare za suzuki carry original kabisa,simu brand zote, play station, tablets za watoto...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Naomba kuwapa taarifa kuwa nina Laptop nzuri tu ambazo zimetuka na nauza kwa bei simple kabisa! Bei yangu simple sana 1. Lenovo T430 Processor: Interl Core i5 @2.60GHz (4 CPUs) Memory: 6G RAM...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi ni fundi natafuta fundi anaye hitaji msaidizi faniyangu ni mechanical Niko dar
0 Reactions
1 Replies
350 Views
Natafuta king'amuz cha azam cha elfu 90
0 Reactions
2 Replies
535 Views
Habari zenu ndugu nauza simu yangu iphone 11 eleven simu ni mpya kabisa nauza pamoja vyote hivo kwa bei ya laki 8.5 sifa zake GB 128 bettry 100 face id iko vizuri simu haimjui fundi namba...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Nyumba ya vyumba 3 vya kulala na sebule, ipo ndani ya fensi. Inahitaji marekebisho machache. Uwanja una ukubwa wa 20m x 18m, hauna hati ila kuna mkataba wa mauziano ya kiwanja. Maji ya DAWASA na...
0 Reactions
5 Replies
809 Views
Tunatengeneza sare za tshirt kwa ajili ya shughuli za kijamii,utalii, serikali, familia na sare kwa ajili ya taasisi binafsi na serikali . Ofisi zetu zipo Lumumba tunatazamana na ofisi ya ccm...
0 Reactions
0 Replies
384 Views
Tunauza engine used za boti aina ya Mercury Outboard 2-Stroke zenye 40horse power. Engine hizi zina 697cc ni inline 3 cylinder, zinatumia petrol na 2 stroke oil ,uwashaji wake ni wa kuvuta kick...
3 Reactions
5 Replies
908 Views
Wanajf habari zenu bana?? Nimepata dharura naondoka mkoa huu nilipo(Arusha) na nauza vitu vifuatavyo. 1.Kitanda 5 kwa 6. Tsh 320k 2.godoro.comfy 5 kwa sita inchi 8 .Tsh 170K 3.SeaPeano..tsh...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
BREAKING Jipatie mashine mbalimbali za Kilimo na Ufugaji kwa gharama nafuu. ■ Mashine moja inayosaga na kukoboa. ■ Mashine ya kumenyea Mahindi. ■ Mashine ya kupukuchukua Mahindi. ■ Mashine ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni nyumba yenye vyumba vitatu, viwili vikiwa ni master pamoja na sebule na dining room. Eneo Lina ukubwa wa MITA 70 kwa 21, kuna eneo la shamba kama linavyoonekana kwenye picha. Bei yake ni nafuu...
0 Reactions
0 Replies
529 Views
Habari wanajukwaa, Wale wataalam wa kushona nguo za aina mbalimbali za kiume na za kike uzi wenu huu muanze kuonyesha kaz zenu mbali mbli na mikoa mliyopo.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza programu ya Ms office 2021 pro+ kwa ghrama ya 20k. Napatikana Dar (Mwenge), karibu na kituo Cha mpakani Nitumie pm ujumbe
1 Reactions
1 Replies
480 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…