1.OPEL Tigra/Astra Sports (Ideal for Celebrities and Superstars!!)
Year of manufacture 1996
3 doors
Automatic Transmission
Engine 1400cc
Fully Equipped with PS, PW...
Mawakala wa kuuza magari yaliyotumika (used motor vehicles) wanahitajika kote nchini. Tuma maelezo yako wapi hupo, yaani mkoa unaotoka majina yako na nambari zako za simu yako,anuani ya barua...
Nahitaji nyumba ya kupanga iwe ina chumba kimoja (master) na sitting room, jiko na luku yake (kama inawezekana). Iwe maeneo ya Kijitonyama na Science, kodi isizidi laki moja (100,000) kwa mwezi...
Hello I am collector of banknotes from Europe and I am interested in buying old banknotes from Zanzibar...I am willing to pay good prices
If anybody has for sale, or know anybody who has them...
Wana jfs nimefiwa na mama yangu mzazi leo kcmc bado nipo dar nataraji kuondoka kesho kuelekea moshi naomben sala zenu ktk kipindi hiki kigumu
My number 0719354556
Wakubwa,
Natafuta apartment ya viwango au nyumba ya kupanga iliyo bora.
Maeneo ya Manispaa ya Arusha Mjini
Vyumba viwili vya kulala.
Iwe na sehemu ya kuegesha gari.
Ikiwa u dalali tafadhali...
Baada ya maandalizi ya muda mrefu wa marekebisho ya Katiba na Mfumo wa Uendeshwaji wa Jumuiya ya Watanzania waishio Uingereza Tanzania Association UK, kesho 27/3/2010 ni sikuya uhaguzi wa Viongozi...
5 Speed Automatic Transmission, 3.2 Liter SOHC 18-Valve V6 Engine
CONVERTIBLE 2D This vehicle has only been owned and titled to one person. Exterior...
Kwa wenye kuitaji software kwa ajiri ya Saccos wani PM. the features of the software are at
local training,installation and support is available here in Tanzania
Kuna nyumba ya kupanga ipo kama kilomita mbili na nusu kutoka Morogoro Road, Mbezi Luis/ au kwa yusufu kuelekea mpiji magoe. Nyumba yenyewe in Chumba kimoja cha kulala, sebule, jiko na stoo. Choo...