Nyumba inapangishwa tabata bima.

Nyumba inapangishwa tabata bima.

herrypeter1

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2009
Posts
223
Reaction score
30
nyumba iliyo tabata bima,
yenye..
Sitting room -1
dinning room -1
kitchen – 1
master room – 1
guest room- 2
yenye uwanja mkubwa wa kupaki magari
banda la mbwa
banda la kuweka gari.

Bei ni laki nne kwa mwezi.
Kwa mawasiliano
piga namba
+255 714 414020.
 
nyuma hiyo ipo kwenye geti au na imesha pata mteja?
 
Weka picha basi, maelezo tu hayo hayatoshi, hujui kama a picture worth 1000 words? Picha please
 
nyumba iliyo tabata bima,
yenye..
Sitting room -1
dinning room -1
kitchen – 1
master room – 1
guest room- 2
yenye uwanja mkubwa wa kupaki magari
banda la mbwa
banda la kuweka gari.

Bei ni laki nne kwa mwezi.
Kwa mawasiliano
piga namba
+255 714 414020.

Mkuu sehemu ya mwisho kuishi hapa Dar ni huko Tabata maana foleni yake ni takatifu na hakuna afadhali hata Jumapili kuna Traffic jam. Unless ukodi hiyo nyumba na ukae huko huko bila kwenda popote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom