Nyumba tatu Kubwa zinapangishwa kwa bei nafuu sana

Musasa

Member
Sep 7, 2010
23
6
Ziko Mbuyuni (Njia Panda ya kwenda Kunduchi Beach) kutoka Bagamoyo road.
- Zina vyumba 4 kila moja,
- Bathroom 4
- Jiko kubwa.
- AC katika vyumba viwili kati ya vinne,
- Underground water tanks,
- Zina ghorofa moja ( chumba kimoja chini na vyumba vitatu juu)

101_0624.JPG 101_0625.JPG 101_0628.JPG

- Kuna vibanda vya mapumziko juu ya nyumba. Sea View inaonekana vizuri sana.
Zilikuwa zinakaliwa na Wazungu ambao wamemaliza Mkataba.
- Nyumba zote tatu ziko kwenye compound moja kubwa.
Bei ya kila nyumba ni Dola 800 tu (USD 800) kwa mwezi.
Dalali hatakiwi.
Piga simu 0717351000
 
Back
Top Bottom