Mambo vp jf?Ninauza simu aina ya samsung gt-bt5722Double line,Touch screen,3.2 megapxl camera with flash,2Gb memory card,Internet, radio, bluetooth,Fully packed with ear jacks, usb cable, kies cd...
Prevention and Natural Treatment for; Diabets, Pressure, cancer, Malaria etc. Your Health is Undoubtedly a valuable asset for living a prosperous life,so you must do whatever it takes to take care...
Peugeout 504 Pick up ya 1992 inauzwa,ipo Dar es salaam,ipo katikahali nzuri sana na inatembea...bei ni 4 Million Tshs maelewano yapo kwa maana inashuka kidogo.. kwa mawasiliano 0713670026
Dell inspiron, ram 2.0GB, CPU 2.2GHz, procesor Intel core i3, hdd 465GB,windows 7 home edition + loads more softwares. Comes with mouse, lead light, pad cooler and cleaner. Black colour. Bei...
mambo vipi wadau?? I am searching 4 a laptop which will help me katika kazi zangu, mimi nadeal na music programes, soo i need 1 with very quality specs, kama labda 6gb ram, 500-750gb harddisk...
Ina vyumba 5 na eneo lenye ukubwa wa zaidi ya nusu ekari,nyumba ipo temeke mikoroshini.Ina umeme na maji pia location nzuri sana- barabarani
Bei Tshs 35 mil
piga 0757895112,0715467447
Kwa watanzania wenzangu ambao watapenda kuagiza magari,vyombo vya muziki,vifaa vya elektronik kutoka Japan,napenda kuwajulisha kuwa kuna kampuni ya Mtanzania anayeishi huko Japan inaitwa Brilliant...
Wadau kuna air condtion za kizamani(wall unit) zinauzwa,ziko katika hali nzuri na zinafanya kazi,pia kuna office furniture kama vile meza kubwa(chinese) ,executive chairs na office chairs..bei ni...
Tunatengeneza aina mbali mbali za fanicha kwa kutumia mbao ngumu kama mninga,mkongo,mvule na mpande karakana yetu iko sinza palestina Dar es salaam,tunatengeneza makabati ya jikoni pia,wasiliana...
hi.am tanzanian i need someone to sponsor my studies at institute of information technology here in Tanzania but i don't have parents all died.if you have ability pls help me.contact me through...
zHello kuna used two stroke bajaj (miguu 3) inauzwa Tsh 1.5ml mazungumzo yapo kwa aliye na uhitaji
Kadi original,bima na ina vibali vyote vipo na inatembea.Inapatikana cinza Dsm
Mawasiliano 0787883059
Kama wewe ni msichana au mwanamke ambaye huna mpenzi lakini unahitaji kumpata,ninauwezo wa kukupa ushauri muafaka.Nitafute kupitia mlimbwa1977@yahoo.com.Sitaki usumbufu kwa wanaume wenzangu.