Viwanja vyenye hati vinauzwa-mbezi beach,salasala benaco na kimara.

NDOFU

JF-Expert Member
Feb 23, 2009
656
144
1. RESIDENTIAL PLOT: MBEZI BEACH
SIZE: 936 Sqm (1 plot)
BEI: MIL 400

2. RESIDENTIAL PLOT: SALASALA BENACO,.
SIZE: 3,613 Sqm (2 plots)
BEI: MIL 300

3. COMMERCIAL PLOT FOR PETROL STATION :BUNJU A ,ALONG BAGAMOYO ROAD
SIZE: 1,658 Sqm (1 plot)

4. RESIDENTIAL/LIGHT INDURSTRY : MPIGI KITUO CHA KILIMO NEAR BREAKTHROUGH SEC SCHOOL
SIZE: 22,000 Sqm (1 plot)
BEI: MIL 400

5. RESIDENTIAL PLOT:KIMARA ALONG THE ROAD FROM TEMBONI TO MATOSA KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD,..SITE INA SHAMBA LA MACHUNGWA NA NYUMBA YA VYUMBA VINNE.
SIZE: 24,282 Sqm (1 plots)
BEI: MIL 500

6. RESIDENTIAL PLOT:BAGAMOYO,KIEMBENI KIHARAKA MAPINGA
SIZE: 10,000 Sqm (1 plots)
BEI: MIL 300

7. RESIDENTIAL PLOT:TABATA KISUGURI
SIZE: 3,000 Sqm
BEI :MIL 150

8.ENEO KUBWA KWA AJILI YA MIRADI MIKUBWA,LIPO KANDO YA BARABARA INAYOUNGANISHA MJI WA KIBAHA NA BAGAMOYO ROAD (BAOBAB).
SIZE ;HEKA 94
BEI ; MIL 500

N.B:
MAENEO YOTE YAMEPIMWA NA YANA HATI MILIKI,.
MAZUNGUMZO KUHUSU BEI YANARUHUSIWA..

KWA MAWASILIANO ZAIDI: +255 715 478 478, +255 787 478 478
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Unaonaje ukiweka bei ya kuanzia mkuu kwa kila kiwanja? Nipo interested na hiyo ya kimara (namba 5)...naona ni kama eka 6 na nusu hivi. Je, kipo umbali kiasi gani kutoka morogoro road? Inafaa kwa kilimo?
 
Hizo ndio biashara za kibongo bei hakuna,watu wanauliza bei jamaa kakaa kimya,naona umakini katika kutangaza biashara sifuri kabsa,haya subiri tupige simu
 
KUNRADHI..Cjaweka bei hapa kwa sababu ya kuenenda sawa na baadhi watumiaji wenzetu wa mtandao huu wasio na nidhamu,.Mwenye interest ya kufanya biashara awasiliane nami ntampatia bei ya kila kimoja,.Ninaamini aneweza kuthubutu kuwasiliana atakua muungwana na mwenye dhamira ya njema,..Zaidi madalali au watu wanaofkria KAMISHENI hawahitajiki..ASANTENI
 
Kaka hiyo siyo biashara,mbona unakuwa mtemi kwenye business au ndio mara yako ya kwanza kufanya biashara na hufahamu ethics zake!
 
KUNRADHI..Cjaweka bei hapa kwa sababu ya kuenenda sawa na baadhi watumiaji wenzetu wa mtandao huu wasio na nidhamu,.Mwenye interest ya kufanya biashara awasiliane nami ntampatia bei ya kila kimoja,.Ninaamini aneweza kuthubutu kuwasiliana atakua muungwana na mwenye dhamira ya njema,..Zaidi madalali au watu wanaofkria KAMISHENI hawahitajiki..ASANTENI

Hii sio njia nzuri ya kufanya biashara
watu wanaomba bei wewe unang'ang'ania kupigiwa simu kama huna ujuzi wa matangazo sema tukufundishe
Wee kaa usubiri utaoza na viwanja vyako weka bei aggrrrrrrrr...
 
KUNRADHI..Cjaweka bei hapa kwa sababu ya kuenenda sawa na baadhi watumiaji wenzetu wa mtandao huu wasio na nidhamu,.Mwenye interest ya kufanya biashara awasiliane nami ntampatia bei ya kila kimoja,.Ninaamini aneweza kuthubutu kuwasiliana atakua muungwana na mwenye dhamira ya njema,..Zaidi madalali au watu wanaofkria KAMISHENI hawahitajiki..ASANTENI

Mkuu, hapa panaitwa JF - Jukwaa la kuongea wazi. Sasa kwanini unaficha bei? Wewe ndio huna nidhamu- unauza viwanja bila bei. Haya ni mambo ya kizamani bana mbona wenzio kama kina Kitomai wanaweka bei zao wazi
 
naunga mkono hoja
 
KUNRADHI..Cjaweka bei hapa kwa sababu ya kuenenda sawa na baadhi watumiaji wenzetu wa mtandao huu wasio na nidhamu,.Mwenye interest ya kufanya biashara awasiliane nami ntampatia bei ya kila kimoja,.Ninaamini aneweza kuthubutu kuwasiliana atakua muungwana na mwenye dhamira ya njema,..Zaidi madalali au watu wanaofkria KAMISHENI hawahitajiki..ASANTENI

Weka bei ili kukwepa usumbufu wa kukupigia pigia kile cha sehemu flani sh.ngapi tena baadae unaulizwa
Pengine wewe ni dalali hutaki kuweka wazi bei za kuanzia madalali ndo walivyo
 
Mkuu Ndofu umeweka bandiko hili saa 12.03 sasa hivi ni 16.45, 5 hours tangu umeweka bandiko hii
na muda wote huko kwenye hii thread member wanakuomba uweke bei wwe unakenua for 5 hours,are you serious men???

Nimemuomba INVISIBLE afute hii Thread kama mtoa mada hana ushilikiano mana hata hujalipia hili tangazo
hela utakayopata hutaichangia JF KAMWE
There are currently 18 users browsing this thread. (6 members and 12 guests)

Wanangu si kila king'aracho ni dhahabu. Huenda akiweka bei mtaanza kuuliza hata namba za hati na mambo kama hayo halafu anajikuta his cover has been blown up. Kimsingi kama hii ingekuwa biashara bei ingekuja na specifications nyingine. Vinginevyo ni yale yale ya umeshinda dola milioni mia ila ututumie dola hamsini tushughulikie kuhamisha pesa yako. Wenye akili wanajua ninachomaanisha bila shaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom