tracy wa NJIRO
Member
- Feb 14, 2012
- 71
- 8
nauza laptop yamgue ASUS X58c gb 160 ram 16gb bei laki 4 na nusu sipunguzi . ni mpya betri 3hrz
nauza laptop yamgue ASUS X58c gb 160 ram 16gb bei laki 4 na nusu sipunguzi . ni mpya betri 3hrz
he!! tafadhali toa maelezo sawasawa
mmm! Kwel atuambie kwani mimi nahitaji!ina tatizo gani?
duh, labda virtual memory na sio physical maana hata i7 hawaweki kubwa kiasi hiyo.