Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kiwanja kipo eneo la Chonga wilalya ya Chake chake Kina ukubwa sqm 850 Kipo mita 30 kutoka barabara kuu *Kiwanja kipo karibu msikiti na hospital ya Chonga Umeme ushafika hauhitaji nguzo...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimepata kazi hapa ya kusafisha sink la choo na mwana jf shukrani kwake pia kama unauhitaji wa kusafishiwa sink la kunawia ama la choo lililofubaa ni cheki pm ama piga namba 0783672221 .Karibuni...
6 Reactions
4 Replies
904 Views
Habari Wadau! Naitaji kiwanja Mabwepande Bunju B. Kama uncho njoo na Offer yako. Wasalaam.
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Gari nzuri sana. Nauza bei nafuu, namba D. Engine 33.Tairi mpya, inafanya kazi kama daladala. Ipo Kitunda Dar es Salaam. Nipigie uchukue gari nzuri ya biashara: +255 782 425 915
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwenye gari dualis number E anichek PM. Pesa ipo mfuko wa shati NB: Madalali wenye tamaa hapana
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kipo kibaha kwa Mathias, Squire meter 400. Kipo msangani juhudi,jirani na stend ya bajaji Bei milioni 3
2 Reactions
12 Replies
1K Views
About Us: Masoko International Company is a Strategic Consulting Firm that utilizes modern consulting techniques and technologies to help our clients in identifying opportunities and utilizing...
4 Reactions
10 Replies
4K Views
TECNO POP4. 32 Gb storage, 2Gb RAM. Nipo Arusha, Njiro. Haina tatizo lolote. Bei 95,000. Simu 0768174862
0 Reactions
0 Replies
465 Views
Habari zenu wakuu? Nahisi kichwa cha uzi kinajitosheleza, japo kwa kuongezea kama wewe ni mmoja kati ya wanaoweza/kumfahamu anayeweza naomba tuwasiliane. Njoo PM chap kwa haraka tufanye biashara.
2 Reactions
18 Replies
997 Views
Habarini waungwana! Ni hp intel laptop RAM ni 8GB HDD ni 500GB CPU ni @2.4GHz 3 USB ports Ethernet port Wifi Adapter ipo Battery ni 30 min Kioo kina mistari miwili Bei ni 280K TZS tu! Karibuni...
1 Reactions
0 Replies
501 Views
Hbr Wtz wenzangu, kama title inavyojieleza ninauza used Dg kuanzia kva 15 na kuendele na spears pia zipo mawasiliano ni 0710881879.
0 Reactions
2 Replies
638 Views
Wanandugu mwenye Manila ngumu naweza kumpata ?
1 Reactions
8 Replies
2K Views
TUNAPENDA KUWAKARIBISHA KUJIUNGA NA CHUO CHETU KWA KOZI YA CLINICAL ASSISTANT. NA NURSING. KWA WALE WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE ( 4) NA CHA SITA (6) CHUO KIMESAJILIWA. REG...
2 Reactions
9 Replies
7K Views
Toyota hardtop for sale Price mil 67 Engine 1hz New tires Manual gear Coil springs Contact +255714787795 Location Dar es salaam
0 Reactions
0 Replies
585 Views
Habari wakuu Kama una kioo au unamjua mwenye nacho, nicheki kwa 0713 039 875
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari ! Wana Jf Leo nimewaletea Uzi kuhusu Spare za magari Unamiliki Gari na gari yako ina changamoto ya aina yoyote Uliza bure na unapewa ushauri bure TAHADHARI [emoji91] Ewe mmiliki wa gari...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Hii tv ina miezi michache sana na ili kuamini unapewa na box lake na mazaga zaga yote. Kwanini inauzwa mapema sana? Kuna mgonjwa yupo hospitali inahitajika hela ya haraka. Bei ya dukani ni 500k...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Bei ni shi mil 1 na laki 8 Mahali ilipo ni Arusha city Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
0 Reactions
5 Replies
924 Views
Habarini ndugu zangu. Kuna saloon inauzwa ipo Kimara B Kwa Komba (karibu na Stopover), kama huitaji kununua saloon yote then unaweza kununua kitu utakachohtaji. Kinyozi wangu aliekua hasumbui...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…