Nataka kufungua biashara nataka nami niwe na ile machine ya MAXCOM AFRICA, na M-PESA, na TIGO PESA
JE FAida yake wenzangu mnaijuwa inalipa?
Maana naona watu wengi wanafanya tayari
NISAIDIEN...
Ninahitaji freezer kwa ajili ya kugandisha mabarafu ya size mbalimbali ikiwemo size kubwa wanayotumia kuhifadhia samaki au kupoza vinywaji wakati wa sherehe
40ft and 20ft containers for sale, with full documents, in a very good condition.
Price: 40ft Tsh 5.5mil and 20ft Tsh 4 mil.
Serious buyers call: 0712 78 79 39
wakuu habari zenu.kwa uhitaji wa mayai ya kuku wa kienyeji yanapatikana,unaweza wasiliana namba 0653685339.yanapatikana maeneo ya kijichi. Bei ni 12000 kwa tray.naomba kuwasilisha wakuu.
kwa mtu mwenye Carina Ti ambayo ipo kwenye hali nzuri na anahitaji kuiuza awasiliane nami kwa number 0713 691620 Andika msg ukinijulisha Bei ya mwaka gani na wewe unapatikana maeneo gani hapa Dar...
Thirty tractors ranging from 55HP to 75HP already arrived at our stock, all machines are brand new with full set of implements, see the price attached. we sale at affordable price with full...
Habar zen wanajf kuna frem ya duka inapangishwa moshi mjini eneo la m,buyuni kilemba ni sh3 mil kwa anayehitaji tafadhali wasiliana nami 0763651341 Kama huna nia...
Wakuu,natafuta fremu ya biashara ya kawaida sehumu yenye mkusanyiko wa watu wengi kama Kariakoo,Tandika au sehemu za stand kubwa au vimiji vidogo vya Dar.Mwenye info apost tu hapa hapa