Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tunatoa mikopo ya magari ya usafirishaji kama vile tractor head&trailler, dumper truck, magari ya kusafirisha abiria kama vile mabasi, vifaa vya ujenzi kama vile excavetor, dozer, wheel loader...
6 Reactions
40 Replies
5K Views
Hamjambo wakuu. Natafuta kipartition cha alminium kwaajili ya uwakala. Kama kuna mwanajamii forum anaeuza aniPM. Location nipo moshi Mfano wake ni hapo chini [emoji116] NB: bei hatitoshindwana.
0 Reactions
7 Replies
891 Views
Nyanya Mbichi nitafutie mteja nauza kiwanja kipo kiluvya madukani ukubwa 46*36 bei 8m. Mawasiliano njoo pm
0 Reactions
78 Replies
9K Views
Pata gari yako kwa kuanzia kulipia kidogo kidogo au kwa 40% tu ya gharama nzima na upate mkopo wa 60%marejesho ndani ya miezi 12 mpk 24, ukikizi vigezo na utaratibu wote utapata gari yako ndani ya...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Wadau naitaji container 20 FT hata ikiwa used. Offer yangu ni 1.2 M. Iwe Dar na documenation zote za umiliki muuzaji awe nazo. Kama unayo nicheck kwa 0759 819 819.
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wana jamii Poleni kwa majukumu ya kujenga taifa Contena zina ukubwa wa 20ft Zina documents zote za umiliki Zipo kwenye hali nzuri Location: chang'ombe Price: 4.3m Mawasiliano: 0656 387577
0 Reactions
3 Replies
848 Views
Kama una mahitaji ya printers na Laptop na photo printer na copiers Nicheki ktk namba ya Simu 0659167416 Whatsapp/ Telegram / sms/ call [emoji1690] nikupe Bei za Kizalendo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
STREETLIGHT Karibu Ujipatie Taa yenye Muonekano Mzuri na Yenye Mwanga wa Kutosha kumulika Eneo lako. Taa hizi za Streetlights unaweza Kuifunga katika Hotel, Shambani, Godawn, Shuleni, Barabara...
0 Reactions
0 Replies
553 Views
Habari! Natumaini wewe ni mzima wa afya...natoa pole kwa janga hili la corona kwa watanzania wenzangu. Unaweza kushangaa sana kwa nchi zilizoendelea familia moja tu ya watu wa 5 inaweza kulima...
4 Reactions
6 Replies
9K Views
Pata gari yako kwa kuanzia kulipia kidgo kidogo au kwa 40% tu ya gharama nzima na upate mkopo wa 60%marejesho ndani ya miezi 12 mpk 24, ukikizi vigezo na utaratibu wote utapata gari yako ndani ya...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Kuna ile specie ya Chinese bamboo inayokua kwa kasi zaidi. Wapi nitapata mbegu?
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wakuu, ninauza kiwanja changu kilichopo mtaa wa 14 KAMBARAGE Geita mjini chenye ukubwa wa mita 50 kwa 40. Pia kiwanja kimepimwa.
0 Reactions
5 Replies
679 Views
Habari za mchana wakuu. I hope mko salama. Mimi pia niko salama na mwenye afya njema. Natafuta mawasiliano ya duka la dawa za kiarabu lililoko mwanza mjini. Nataka hasa namba za simu. Kuna bidhaa...
0 Reactions
1 Replies
897 Views
Tumekuwa na masomo mazuri kuhusu uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Tumekuwa na mijadala ya motomoto kuhusu uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Tupo watu wa makundi tofauti tofauti kutoka mikoa...
1 Reactions
0 Replies
539 Views
Habari za wiki end wadau. Kama mada tajwa hapo juu maelezo yanaeleweka naomba mwenye connection ya kupata bidhaa hiyo kwa wingi anijulishe.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, Naitaji kiwanja Bunju B Mabwepande, kama unacho njoo na offer yako. Nicheck whatsapp kwa namba hii: +255659741342
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Printer hp 7500 a wide format------laki 3 Tt560 speed lite neewer------------laki na nusu Sigma lense 170-500----------------laki 4 Studio light na background yake laki 4 Kwa maelezo zaidi...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu JF. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Eneo la Ekari moja linauzwa. Mmiliki ni dada yangu kaomba nimtangazie Mahali: Kibaha Visiga, 500m kutoka barabara kuu ya Morogoro...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello comrades, Brand new howo tipper available with 0 kilometer, for lower price of only 160m plus registration. Come and grab it quickly. Only one unit left.
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…