Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kibanda mkokoteni, maalumu kwa kuuzia nguo. Kinauzwa, bei poa na ni tofauti na mikokoteni yote (karibu) +255755360768 location:- arusha sifa za kibanda hiki; Kwanza kabisa kibanda hiki hakipo...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wanaJF mimi ni fundi wa kuchomelea (Arc Ray Welding) mkazi wa Dar natafuta kazi ya kuchomelea yeyote mwenye connection tafadhali anisaidie..
2 Reactions
1 Replies
754 Views
Muundo wake Vyumba vitatu vya kulala kmoja n master bedroom seble jiko dining stoo na choo na bafu (CommonToilet) Huduma zote maji umeme barabara vpo site mtaa mzurii uliojengeka kisasa sanaa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi nipo Dar es salaam, nina gari canter, box body freezer, yenye uwezo wa kubeba mizigo ya baridi na ya kawaida. Natafuta kazi halali popote hapa Tanzania...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Popote ulipo TANZANIA,kwa mahitaji ya vifaa #bora #imara #kwa bei nafuu -MABATI -MISUMARI -MARINE BORD -VIGAE -PVC BORD -GATA & KOFIA -ANGLE LINE -GYPSUM -FISHER BORD Fika kiwandani #DRAGON au...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Biashara yangu ina Jina lakini haina Logo nimekua nikiwaza kuhusu hili muda mrefu lakini sikua nalipa kipaumbele sana ila sasa naona linaelekea kuni cost huko mbeleni. Sina pesa wakuu naommba...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habar zenu wapendwa natibu vidonda vya watu wenye sukari kwa bei nafuu karibuni sana napatikana kwa simu namba 0746600401
0 Reactions
1 Replies
675 Views
Najua HAIHUSIANI SAN ILA MSAADA Nina degree ya COMMUNITY ECONOMIC DEVELOPMENT. [emoji419]Naitafutia uzoefu ili badae niweze kuwa na chochote kwenye CV na kuombea Kazi. Nisaidie hata Internship tu...
1 Reactions
6 Replies
788 Views
Kiwanja Kinauzwa! Mahali: Kibaha kwa Mathiasi. Bei: Milioni 60 (kunamaelewano). Maelezo: Kipo karibu kabisa na barabara ya kuu ya morogoro - upande wa stendi ya daladala kuelekea Ubungo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salama wandugu......nahitaji freezer used Yale ya biashara...njoo na ofa Yako tufanye biashara Leo Leo.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Frem zipo Mjimwema Kigamboni Zimepakana na sheli ya oil com Bei laki 250 0787672719 0713672719
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwenye ako na haka kapikipiki kakiwa na usajili tayari namba D itapendeza iwe used ambayo bado piru muonekano mzuri na isiyosumbua isiyo na kipengele njoo Pm
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Nahitaji mlango wa kioo kwa ajili ya duka na shelves.. bei iwe nzuri Location:Dodoma Contacts:0710820669
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Asus Rog STRIX Z390-F Customized Gaming Desktop Core i7 8th Generation SSD 512GB+HDD 3TB RAM 16GB DDR4 CPU 3.20 GHz RTX 2060 Super 8GB Dedicated Video memory Power Supply 700W RGB FAN 0622 901670
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Drone camera .. 720P, 1080P,4k video Recording , taking photo. 1km range Brand new , Dar unalipa ukipata mzigo .. Mikoani unatumiwa .. Tupo makumbusho 0686 314 748
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Habari wakuuu,Nina lengo la kufungua mradi wa kuuza juice ya miwa .Naomba kuuliza bei ya kununua mashine yake ikiwa mpya na ikiwa used . Nataka nione wapi nitaaford ili niweze kifungua nione kama...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Mid keyboard inauzwa bei kitonga sana ,tone,volume , baton zote ziko poa imenyooka sana haina kipengele Location mwanza Bei 330,000 Popote unatumiwa kwa uaminifu kwa gharama za mteja
0 Reactions
3 Replies
818 Views
Habar wakuu, Naombeni location duka la kuuza biblia, nipo morogoro mjini msamvu Biblia za kingereza, Nahitaji muda huu. Asanten [emoji120]
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Ramani ya Ukumbi/Venue Unauwezo wa kuhudumia watu 400 Pia Tunatoa huduma zifuatazo ◇RAMANI NA UJENZI ◇KUFATILIA VIBALI VYA UJENZI ◇KUANDAA GHARAMA ZA UJENZI (BOQ) ◇USIMAMIZI WA UJENZI Wasiliana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Umepanga kununua Tv na pesa ni kidogo? Usiteseke Infopreneur anauza Smart Tv used from UK Kwa bei poa sana. Jambo bora zaidi ni kwamba Tv zangu Zinakuja na warranty pia ni Original. All you have...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…