Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa anaefahamu jinsi nitakavyoweza kupata machine ya kukata na kusaga nyama, maeneo zinapouzwa na bei zake kwa used and new one.Nawakilisha
0 Reactions
1 Replies
2K Views
KAMI DIGITAL TECHNOLOGY Tunafanya kazi za Video Shooting&Production,Photo,Live video on projectors kwenye sherehe mbalimbali. Bongo Movie production Gospel songs video Album(Kwaya na waimbaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shamba lipo Vikuruti Mlandizi, Bagamoyo road, hekari 15, bei 35ml, wasiliana kwa simu, 0717000990/0764434673 au majutongozi@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Nauza LCD flat screen Tv Aina ni ya TCL inch 24 Zina mezi 2 tangia nimezinunua. Mawasiliano: 0714-074040 0767-074040 0785-074040
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauza CANON 40D ambayo ni professional photo CAMERA na bei zake ziko juu lakini mimi naiuza kwa laki nane (700,000/=) tu kwa sababu nimenunua 60D CANON. Pia nauza ALL IN ONE Panasonic Photocopier...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wale wadau mnaohitaji huduma ya tiba , ushauri na upatikanaji wa mifugo mbalimbali tuwasiliane kwa no 0714134004
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Natafuta fundi mzoefu wa kujenga swimming pool. Mwana jamiiforum yeyote anayefahamu fundi mzuri naomba contacts.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nina shilingi 5 M, Mwenye nayo anipm au anicheki kwa simu 0755923374 au frehape@gmail.com. nitumie picha ya gari kwenye imeili hiyo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
I have few 230 Watts Poly Solar Panels for sale at a very reasonable price of 1,200,000/= Tshs each OVNO. You only need a battery, Charge Controller, Inverter and wiring to forget about Tanesco...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Wapendwa nimeanza biashara hii mwezi july, 2012. Sijakutana na shida kama hii jana mtu amekuja akitaka awekewe 450,000/= kwenye account yake akampatia mwanangu laki nne na nusu feki, na tumegundua...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
wadau kwa anayehitaji nauza kiwanja 20 X 20. kipo Mabwepande sifa zake jirani na barabara umeme nguzo moja tuu haijapimwa ila hakuna tatizo bei ni shilingi milioni tatu (3000,000) hakuna dalali...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
-Imejengwa katika kiwanja # TB/TK/89 -Iko umbali wa kilomita moja kutoka Mwananchi MCL au SDV-AMMI pia kupitia Tabata Mawenzi, kituo cha Savanna, umbali ni huo huo wa Kilomita moja -Ni nyumba...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Wandugu mwenye taarifa positive za vyumba vya kupanga, iwe ni self ama kawaida, pamoja na bei zake, maeneo ya magomeni ama sinza tafadhari tuwasiliane haraka.
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Panasonic LUMIX DMC-TZ20/DMC-ZS10 14.1 MP Digital Camera - BlackNauza Camera ya Panasonic DMC-TZ20E ambayo imetumika lakini ipo katika hali nzuri.Imetumika uingereza lakini imeshafika Dar es...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
NYUMBA INA SIFA ZIFUATAZO Kiwanja kimepimwa sqm 1092 kina offer Vyumba 4 vya kulala 1 master Juu gypsum chini cement ya kawaida ina store, jiko , sehemu ya kula chakula. imezungushiwa ukuta...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
contact: 0714319384 whatsapp/sms/call skype: emilkpwayne price: 750,000 *maelewano, exchanges zipo.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kila Cd ni tsh 60 na cd za ku install tsh10 CD games God of war 3 Metal Gear Solid:Guns Of The Patriots Ratchet and clank crack in time Just cause 2 Motorsports Install games Need For Speed...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nauza LCD flat screen Tv Aina ni ya TCL Made in China. inch 24 Tsh 300,000/= kila moja. Zina mezi 2 tangia nimezinunua. Mawasiliano: 0714-074040 0767-074040 0785-074040
0 Reactions
1 Replies
991 Views
VIKO GOBA MATOSA SIZE 20*20 3MILLION,25*20 3.5MILLION, 40*20 6MILLION NA 40*25 7MILLION MAONGEZI YAPO. VYOTE VINAFIKIKA KWA GARI na UMEME UKO JIRANI. piga 0718334726/0769055577 kwa taarifa zaidi.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
SOLD SOLD SOLD SOLD SOLD SOLD SOLD Make Scania Model 113 Hp 320 Year 1995 KM 682.000 Bei CIF DAR TZS MIL. 42
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…