Nauza photocopier na canon 40d camera

Nauza photocopier na canon 40d camera

NEXTLEVEL

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
857
Reaction score
396
biash.jpg copier.jpg cop.jpg CANON.jpg

Nauza CANON 40D ambayo ni professional photo CAMERA na bei zake ziko juu lakini mimi naiuza kwa laki nane (700,000/=) tu kwa sababu nimenunua 60D CANON.

Pia nauza ALL IN ONE Panasonic Photocopier pamoja na stabilizer yake ya umeme bado ni mpya haijatumiaka zaidi ya copy za kutest. Bei yake ni nzuri sana 550,000/= (Laki sita na nusu) kwa wale wanaaojua bei za mashine za photocopier wanaelewa.Karibu sana.
0717 017 820
.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom