Kijana wangu wamempatia note bandia jumla 450,000/= , mpesa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijana wangu wamempatia note bandia jumla 450,000/= , mpesa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mbwambo, Oct 29, 2012.

 1. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Wapendwa nimeanza biashara hii mwezi july, 2012. Sijakutana na shida kama hii
  jana mtu amekuja akitaka awekewe 450,000/= kwenye account yake akampatia mwanangu laki nne na nusu feki, na tumegundua asubuhi hii kwenye kuweka hela pale happy mvungi asubuhi ya leo
  tumeambiwa hela halali ni elfu hamsini na feki ambayo machine imekataa ni 450,000/=

  upande wangu nakubali kosa kutokuwa na machine ya ku check pesa feki
  leo hii nimepata hasara kubwa
  mpesa wanasema amekwisha toa hiyo hela tayari

  sasa hatua ya kuchukuwa nifanyeje wapendwa wana jamii forums
  asanteni kwa ushauri wenu
  mama yenu mchanga kiujasiriamali
   
 2. Spinster

  Spinster JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 393
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  pole..jina la mwenye hyo account c lilitokea alipoweka ela?
   
 3. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Nenda karipoti polisi kisha mfatilie TCRA
   
 4. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,651
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Nenda Voda wakusaidie kumtrack na akiweka hela yoyote kwenye account yake wanazikamate.
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,427
  Likes Received: 22,347
  Trophy Points: 280
  Mpesa, Z Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money ni Benki za kimagumashi, umesha poteza haki zako.
   
 6. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Jamaa na laini keshaitupa chooni, zali hilo, huu mtandao umeenea sana hapa tz, juzi jamaangu alilizwa kama wewe.
   
 7. N

  Ngarenaro JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Hivi wewe yaani hapo ndio upeo wako ulipofikia wa kumshauri mtu?
   
 8. w

  white wizard JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  hiyo imeshakula kwako,kwani utambana vipi kuwa ni yeye ndiye aliyetoa pesa hizo?pesa fake pa kumkamata ni pale mala tu anapokukabidhi,zaidi ya hapo inakuwa ni ngumu,kwani atakataa kuwa c yeye,ni inakuwa ngumu kudhibitisha hilo.cha msingi ni kumwambia huyo kijana wako kuwa makini tu.pole
   
 9. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  nadhani cha muhimu kwenye hii biashara ni kununua zile taa za kuweza kuona pesa fake, nadhani ni bei nafuu tu, sababu ukilizwa hii imeshakuwa case na ni maneno yako au yake sababu na yeye atabisha labda sio yeye au na yeye ameshikishwa
   
 10. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  yes .... uv fluorescence light (ultraviolet)
   
 11. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Pole kwa kilichokukuta mkuu
   
 12. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,861
  Likes Received: 1,137
  Trophy Points: 280
  duh,pole sana mkuu. asante kwa taarifa kwani umetufumbua macho sisi wenye biashara hizi!
   
 13. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  ndiyo mtoto anasema limetokea kaka
   
 14. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Asante kwa ushauri nami nimewaambia HIVYO HIVYO NENDENI POLISI MAANA MPESA KUSEMA TU KWAMBA WAME M BLOCK HAITOSHI SI ATANUNUA LINE NYINGINE?
   
 15. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  asante kaka kweli tunaishi siku za mwisho nami niliishaona hiyo hela sina hata tumaini la kuipata licha ya kwamba tume report polisi
   
 16. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  mimi ni mama nipe pole mwezangu. Kwa sasa nimeifunga hiyo biashara mpaka nitakapopata kile kifaa cha ku check hela kama ni halali au la. Nimeenda bank ya posta wakanionyesha kitu kama tube light ambayo unaweka hela pale na kama ni feki itaonyesha mwanga kwenye note bandia na kama ni halali utaona ina high light kwenye ile picha. Sasa nimewatuma watoto waende kuulizia hiyo taa ndiyo nianze biashara tena
   
 17. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  asante mkuu mimi ni mama asante nina imani mungu ataniiinua tena
   
 18. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  asante sana mimi ni mama mwanamke mwenzio
   
 19. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Hata ukiwa mama, unaweza kuwa Mkuu, Bosi wangu mie ni mmama huwa namwita Chifu, Bosi na Mkuu.
   
 20. C

  Chibolo JF-Expert Member

  #20
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 2,975
  Likes Received: 1,391
  Trophy Points: 280
  Ndio imeshakula kwako,tulia upange michororo mingine,usiharibu fwedha yako kwenda polisi huko utapotea kabisa hakuna msaada..
   
Loading...