Nauza kiwanja (Mabwepande)

Nauza kiwanja (Mabwepande)

mtamanyali

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,161
Reaction score
616
wadau kwa anayehitaji nauza kiwanja 20 X 20. kipo Mabwepande
sifa zake
  • jirani na barabara
  • umeme nguzo moja tuu
  • haijapimwa ila hakuna tatizo
bei ni shilingi milioni tatu (3000,000) hakuna dalali kwani nauza mwenyewe.
mawasiliano; mtamanyali@gmail.com
 
Mabwepande....usalama upo?anyway Tsh.800,000/=kama upo tayari.
 
Kusema ukweli wa mungu, naona kama vile hili tangazo ni photoshop. Labda muhusika aniconvisi azawaiz
 
kusema kweli hata mimi sijakuelewa kwa nini unaona tangazo hili ni photoduka! Labda unieleweshe vizuri then nianze kukushawishi. Ila inshort ninauza kiwanja changu pale mambwepande mwenyewe ninaprot mbili so nauza moja.
 
Kwa ulimboka?
 
Ulimboka
 
Unazo korodani kwani?meno yako yapo mdomoni 32?makoleo yapo?
 
Mabwepande baadae sanaaaaaaaa!!! Yani hapo ni rahisi hata dakika haifiki ushafika msituni kutoka kwako.......
 
naona hata barabara inaanza kujengwa kuanzia pale Bunju hivyo wenye vijisenti vyenu kanunueni acheni porojo na kama huna pesa au huhitaji kiwanja pita kimya kimya..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom