Guys, rafiki yangu anahitaji simu ya iPhone 4 na mwingine huawei 8650 kama zile wanazo uza tigo. Kama kuna mtu anauza, tunaomba ataje bei na hali ya simu aliyo nayo. Mimi sio dalali wake, nitampa...
Jamani watu wa ujasiriamali, tunapenda kuwatangazia wale wote wanaopenda biashara ya ufugaji wa kuku na wanyama wa aina ya ndege wote. Sisi tunatengeneza mashine za kuangulia...
INATANGAZA NAFASI ZA KAZI CASHIER NA SALES KWA UPANDE WA VODACOM M-PESA
SIFA ZA MWOMBAJI:
1. AWE NA ELIMU YA KIDATO CHA NNE AU CHA SITA
2. AWE NA UZOEFU UPANDE WA MAHESABU NA AWE AMEWAHI...
Kwa wajasiriamali wanaodhamiria kujikwamua na lindi la umasikini. Mashine za kutotolea vifaranga zinapatikana hapa kwetu.
SIFA:
1. Zina ukubwa tofauti, toka mayai 200 hadi 2000...
Nokia X201 for sale full specification follow link http://www.gsmarena.com/nokia_x2_01-3610.php Price Tshs 140,000/= negotiable! Call 255716300091/ 255753686485. Nipo Dar es Salaam.
WE ARE PROFESSIONALS IN GSM INDUSTRY FOR THE FOLLOWING SERVICES
UNLOCKING ANY GSM PHONES
IPHONES
NOKIA
SAMSUNG
ALCATEL
BLACKBERRY
UNLOCKING ANY GSM MODEM
ZTE
HUAWEI
VODAFONE...
Nahitaji kusambaza mzigo wa mbao nina wakulima wa mbao ninaofanya nao biashara sasa nahitaji kutanua masoko yangu upande wa usambazaji kwa tenda kubwa.
Bidhaa za mbao za dawa mirunda na mabanzi...
Wapendwa nataka kuanza biashara ya kutoa photo copy na ku type barua kwenye computer
sasa nitapata ile photocopier machine medium sized?
Sina hela ya ile kubwa na hata biashara yenyewe ipo sehemu...
Nokia X201 for sale full specification follow link http://www.gsmarena.com/nokia_x2_01-3610.php Price Tshs 140,000/= negotiable! Call +255716300091/+255753686485. Nipo Dar es Salaam.
Sony Ericsson XPERIA X10 mini pro inauzwa TSH 200,000
Inafanya kazi na ipo katika hali nzuri kabisa bei laki mbili sh170,000 .Imetumika Uingereza na sasa hivi ipo Dar naomba wasiliana na HABIBU...