Naitaj tv flat screen ya kununua

Naitaj tv flat screen ya kununua

Spinster

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
487
Reaction score
138
yoyote anaeuza tv flat screen,anicheck naitaj haraka...icwe ndogo atleast nch 22...
 
mkuu mi nina duka kariakoo mtaa wa kongo ninazo hizo tv karibia pale chini ya jengo la simba
 
Si uende dukani

Nenda kariakoo kwenye duka la samsung, hakikisha una gobole na panga lililonolewa sawasawa.
Ukifika unasema leta hiyo hapo, unaweka kwenye gari unaondoka....atakaekuuliza hela unakata sikio, unaliokota na kulitafuna!

Haya....ushindwe mwenyewe sasa
 
Back
Top Bottom