OPEN AND COMPITE AND YOU WIN NOW Bongo Gadgets - No.1 Electronic Store - XTouch - Crony - WinTouch - iTouch - Sony - Samsung - Nikon - Apple - Shop on a secure way from our wide selection of...
Kifaa hiki kinatafutwa wapi kitapatikana mwenye info ani pm donge nono kwa atakaye fanikisha
​
50 BMG BARRETT SNIPER RIFLE
risasi hizi 14.5×114mm cartridge.
Jamani, Valentines Day inakaribia mno. Kwa wale wenye wapenzi/marafiki/wake/nyumba ndogo/vidumu/vigango mnaweza kuchungulia hii page yetu ya Valentines Day Special Offers
Aloe Vera...
Habari,
Ninauza mayai ya kuku wa kisasa
Bei ni 5500 kwa tray wholesale, maongezi ya bei yapo kama utahitaji trays nyng zaidi
Napatikana Arusha,
contacts:
0717-543373
0766-544750
0786-305664
Karibuni
Nauza used Hard Drives za Desktop computers zilizotengenezwa na kampuni ya Seagate. Nilikuwa nikizitumia wakati nafanya practicals za Hardware Engineering. Ni mbili - 40GB na 80GB.
Tuwasiliane kwa...
Shamba linauzwa kwa bei cheee, wahi sasa mapemaaaaaaaaaa arthi ni mali, shamba liko kiwangwa bagamoyo, bei nafuu sana, millioni moja kwa acre, kwa maelezo zaidi ni pm.
WanaJF, hili shamba ni tambarare na limeendelezwa; ukubwa ni eka 10. Liko karibu na mji mdogo wa Kikatiti, 3km kutoka barabara ya Arusha-Moshi. Miundombinu yote muhimu iko karibu. Nyaraka za...
kiwanja kimepimwa kinauzwa,
kipo Mbweni Mpiji
Ukubwa ni Square metre 685
Bei ni: 47 Million
contacts: 0715353108 au 0756144060 Email: mwamalekela@gmail.com
Tumefungua Music Studio ya Kisasa.
Kama una kipaji cha kutunga na kuimba nyimbo na unadhamira ya kufanya kazi nzuri sana basi unakaribishwa.
Interest yetu ni kutengeneza Muziki utakaopendwa na...
Waungwana nauza gari hiyo details zake ni kama ifuatavyo:
Mwaka:2000
cc990
Auto
Petrol
imetembea km 81,400
imesajiliwa wiki moja iliyopita
Bei ni 6,800,000 maongezi yapo.
Mawasiliano: 0772 252 000
Wanabodi,
Gari tajwa hapo juu linahitajika asap,
milage: <80'000 km
budget: 8-9m
color: preferably NOT white
be in good condition
Tuma PM kwa mawasiliano zaidi.