Toyota Vitz for Sale

Toyota Vitz for Sale

mchakachuaji192

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
366
Reaction score
69
Waungwana nauza gari hiyo details zake ni kama ifuatavyo:
Mwaka:2000
cc990
Auto
Petrol
imetembea km 81,400
imesajiliwa wiki moja iliyopita
Bei ni 6,800,000 maongezi yapo.
Mawasiliano: 0772 252 000
 

Attachments

  • DSC02007.JPG
    DSC02007.JPG
    925.1 KB · Views: 370
  • DSC02008.JPG
    DSC02008.JPG
    1 MB · Views: 252
  • DSC02009.JPG
    DSC02009.JPG
    912.5 KB · Views: 185
  • DSC02010.JPG
    DSC02010.JPG
    911 KB · Views: 158
  • DSC02011.JPG
    DSC02011.JPG
    791 KB · Views: 176
Ukiacha hitaji la hela ... ni sababu gani nyingine inakufanya uliuze so soon???
 
Imeingia kutokea wapi?
Japan, Zanzibar, Dubai au wapi??
 
Bei iko fair na pia gari ni mpya. Sidhani kama utakosa mteja kwa bei. Nisingekuwa nimetoka kulitoa langu hilo ningelichukua. Kila la kheri!
 
Waungwana nauza gari hiyo details zake ni kama ifuatavyo:
Mwaka:2000
cc990
Auto
Petrol
imetembea km 81,400
imesajiliwa wiki moja iliyopita
Bei ni 6,800,000 maongezi yapo.
Mawasiliano: 0772 252 000

Gari bado lipo kwa anaehitaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom