Nahitaji used farm Tarctor kutoka Japan

Nahitaji used farm Tarctor kutoka Japan

Google carjunction utapata used tractors na iquipments zake toka Jpn tena MF.
 
Used tractor toka Japan? Acha bangi mkuu (samahani lakini!!!) labda kama unataka gari,Ingia kwenye hii web hapa ujichagulie tractor,Used tractor nzuri na kwa bei nafuu zinapatikana ulaya hasa uingereza
Agriaffaires | ads of used & new farm equipment for Sale

Bangi?
kweli vijana wa sasa tunakoseana heshima,ila nakushukuru maana kila mtanzania yawezekana ni mvuta bangi ndio maana umefikia kusema hayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom