Shamba Linauzwa Barabara ya Arusha-Moshii

Shamba Linauzwa Barabara ya Arusha-Moshii

Nginana

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2009
Posts
839
Reaction score
872
WanaJF, hili shamba ni tambarare na limeendelezwa; ukubwa ni eka 10. Liko karibu na mji mdogo wa Kikatiti, 3km kutoka barabara ya Arusha-Moshi. Miundombinu yote muhimu iko karibu. Nyaraka za umiliki zipo. Bei ni Tsh 75 million tu. Kama utahitaji sehemu ya shamba pia unakaribishwa. Kwa taarifa zaidi, tafadhali tuwasiliane kwa simu na 0715 477410.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom