BETRI ZA SIMU, BETRI ZA CAMERA NA LAPTOP, BATTERY CHARGERS, PRINTER TONERS, SCIENTIFIC CALCULATORS, VITABU, LAPTOPS, DASH BOARDS ZA COMPUTER NAKADHALIKA.
JE, una kifaa chako cha Elentronic...
Samahani wajumbe ila naulizia kama mtu anafahamu sehemu wanapouza A4 T-SHIRT PRINTER na ntafurahi nkijua bei na eneo wanalouza na kama ntapata na namba ya simu then ntashukuru zaid
wadau kuna shamba maeneo ya kibaha kwamatias karibu na hospital ya burere lina vitu vifuatavyo nyumba yenye vyumba vitatu minazi 14 Michungwa 10 Miembe na vitu vingind vingi umeme uko nyumb ya...
Nauza haraka nyumba yenye vyumba vitatu ambayo ipo kwenye eneo kubwa la mita 35 kwa 30 Chanika mwendo wa dk 7 toka barabara ya lami. Umeme upo. Bei sh. Mil. 13, haipungui. Unaweza kuikarabati...
Habari zenu, nyumba inapangishwa mwenge karibu na TRA, ina vyumba vitatu vya kulala, chumba kimoja ni master, ina dining room, sitting room, kitchen na public toilet, kodi ni 450000 inahitajika ya...
DELL STREAK 7 wifi+4G (16GB internal memory) 7.9 inches screen ni mpya imefunguliwa box kwa kuupgrade os to android 3.2 na kui root ili uweze kuinstall kitu chochote kile na kuweza kutumia skype...
Wadau heshima kwenu,
Natafuta chumba na sebule iwe self contained maji na umeme, iwe maeneo ya SOWETO au RAU, Kodi isizidi 100,000 kwa mwezi, ikiwa na usalama wa geti na ukuta ntashukurusana.
kwa...
Wakuu Habari zenu,
Natafuta nyumba ili nipange, chumba kimoja self contained na sebule au vyumba viwili na sebule moja lazima kiwe self (maji muhimu yawepo). Mazingira yawe mazuri kwa usafi na...