wadau kuna shamba maeneo ya kibaha kwamatias karibu na hospital ya burere lina vitu vifuatavyo nyumba yenye vyumba vitatu minazi 14 Michungwa 10 Miembe na vitu vingind vingi umeme uko nyumb ya tatu kutoka hapo na bei ni 18milion tu na inazungumzika kwa mawasiliano piga simv namba 0754286329 AU 0714973871 ukubwa wake ni ekali 2 Na nusu