Natafuta LAPTOP

Natafuta LAPTOP

Mwansile

Senior Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
111
Reaction score
26
Natafuta laptop nipo malimbe mwanza nicheki kwenye 0765480855 iwe katika hali nzuri
 
Nina Acer Aspire 6035, GB 320, RAM 2GB, SPEED 1.9GHz. Mpya kabisa ina wiki moja nimepatwa na shida inabidi niuze tu.
 
laptop waweza pata , vp una mtu Dar ambaye anaweza kukuangalizia kwa niaba yako kabla ya kulipia, sababu huko uliko naona mbali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom