hiace super roof (dungu )for sale

hiace super roof (dungu )for sale

lucky sabasaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
1,656
Reaction score
1,205
Serious buyer manual..disel..2003 model...chasis lh184..imetoka bandarini jana... tsh 26ml
 
Subiri hapohapo usiondoke, walimu wanakuja kukufundisha namna ya kutangaza.
 
Sio kosa lako maamuma hujuhi chochote kuhusu magari ndio maana hujaelewa..kama huna cha kuongea si mbaya kukaa kimya!!!
 
Katika gari tangazo kubwa ni chasis namba kwa mnunuzi anayejua magari anakuwa ameelewa kila kitu..wewe ulitaka tangazo liwe vipi ????
 
Picha!!!!!
Unafikiri mbongo atabargain gari kwa sound ya chasic no?
Ingekua ndivyo basi ata hao big dealers wa japan na kwingineko wasingekua wanatuwekea picha.
By the way wasubiri hao watakao bargain bila picha waje mfanye biashara!
 
Naomba nitoe maelezo kidogo..watu wengi bado hatujajua ununuaji wa magari..ukiagiza gari kupitia kwenye bandari yetu tra watakutajia ushuru wa gari lako bila kuliona na wala kuona picha ya hilo gari wanachofanya ni kuangalia chasis number ya gari hilo..unawezakuwaambia umenunua kwa $3000 wao tra wakakwambia hapana umenunua kwa $4000 kwa kuangalia tu chasis number..gari unawezakulipaka rangi nyeusi ili uliuze lakini kwa kuangalia chasis number unawezajua rangi original ya gari hilo..pia wawezajua kama gari ni la wizi model yake nk..sokoni unapoangalia ni maili ngapi gari limetembea si sahihi sana maana siku hizi watu wanabadiliasha baada ya 50000 itasoma 20000 nk..watu wengi wanapoagiza magari pindi gari linapofika anaona vitu tofauti na alivyoyegemea..kuna bwana mmoja ana showroom yake hapa dubai alinifundisha mengi ktk manunuzi ya magari..rafiki zangu wote mliochangia hapo juu mna mawazo mazuri sana lakini siku hizi teknolojia imebadilika tujifunze sasa..chasis number ina mambo mengi sana itakwambia ata kama gari inayouzwa ni ya wizi hivyo wawezaiepuka..soko la magari lina udanganyifu mwingi sana hivyo wanunuzi tubadilike..picha ni ya muhimu lakini haitakwambia kama gari ni manual au auto..imetengenezwa mwaka gani..petrol au disel..imeibiwa au imepata ajari nk..wajapan wanapenda sana kutuuzia magari maana tunalizika na picha tu !!!!nashukuru gari nimeuza..aksanteni sana +971504374387 dubai
 
Chasis number inabadilika iwapo bodi ya gari imebondekabondeka?
 
Haiwezi badirika ila utakapo track kwenye system ndio utaona bodi iliyobondekabondeka..ndio maana interpol siku hizi wana kamata gari nyingi zilizoibiwa uk na south africa maana wana track gari lipo wapi kupitia cjasis number...ata ukibasiri rangi watalishika tu...ni kama kwenye viwanja vikubwa vya ndege kama dubai siku hizi hawachukui finger print bali kuna machine inayoscan jicho lako ata ukibadirisha jina na passport utashikwa labda ung'oe jicho +971504374387 Dubai
 
Naomba nitoe maelezo kidogo..watu wengi bado hatujajua ununuaji wa magari..ukiagiza gari kupitia kwenye bandari yetu tra watakutajia ushuru wa gari lako bila kuliona na wala kuona picha ya hilo gari wanachofanya ni kuangalia chasis number ya gari hilo..unawezakuwaambia umenunua kwa $3000 wao tra wakakwambia hapana umenunua kwa $4000 kwa kuangalia tu chasis number..gari unawezakulipaka rangi nyeusi ili uliuze lakini kwa kuangalia chasis number unawezajua rangi original ya gari hilo..pia wawezajua kama gari ni la wizi model yake nk..sokoni unapoangalia ni maili ngapi gari limetembea si sahihi sana maana siku hizi watu wanabadiliasha baada ya 50000 itasoma 20000 nk..watu wengi wanapoagiza magari pindi gari linapofika anaona vitu tofauti na alivyoyegemea..kuna bwana mmoja ana showroom yake hapa dubai alinifundisha mengi ktk manunuzi ya magari..rafiki zangu wote mliochangia hapo juu mna mawazo mazuri sana lakini siku hizi teknolojia imebadilika tujifunze sasa..chasis number ina mambo mengi sana itakwambia ata kama gari inayouzwa ni ya wizi hivyo wawezaiepuka..soko la magari lina udanganyifu mwingi sana hivyo wanunuzi tubadilike..picha ni ya muhimu lakini haitakwambia kama gari ni manual au auto..imetengenezwa mwaka gani..petrol au disel..imeibiwa au imepata ajari nk..wajapan wanapenda sana kutuuzia magari maana tunalizika na picha tu !!!!nashukuru gari nimeuza..aksanteni sana +971504374387 dubai

Mkuu mbona unakuwa mgumu hivyo, hayo maelezo yako uliyoyatoa ni sahihi sana, lakini wateja wako wanataka kuona picha, basi fata wanachotaka mkuu, WEKA PICHA MKUU
 
Naona hujasoma maelezo gari imeshauzwa nilikuwa nafafanua umuhimu wa vin number gari limeuzwa...thanks
 
Ni costa hiyo ama? Toa details za kueleweka kutoka bandarini ndo kiwandani ama?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Naomba nitoe maelezo kidogo..watu wengi bado hatujajua ununuaji wa magari..ukiagiza gari kupitia kwenye bandari yetu tra watakutajia ushuru wa gari lako bila kuliona na wala kuona picha ya hilo gari wanachofanya ni kuangalia chasis number ya gari hilo..unawezakuwaambia umenunua kwa $3000 wao tra wakakwambia hapana umenunua kwa $4000 kwa kuangalia tu chasis number..gari unawezakulipaka rangi nyeusi ili uliuze lakini kwa kuangalia chasis number unawezajua rangi original ya gari hilo..pia wawezajua kama gari ni la wizi model yake nk..sokoni unapoangalia ni maili ngapi gari limetembea si sahihi sana maana siku hizi watu wanabadiliasha baada ya 50000 itasoma 20000 nk..watu wengi wanapoagiza magari pindi gari linapofika anaona vitu tofauti na alivyoyegemea..kuna bwana mmoja ana showroom yake hapa dubai alinifundisha mengi ktk manunuzi ya magari..rafiki zangu wote mliochangia hapo juu mna mawazo mazuri sana lakini siku hizi teknolojia imebadilika tujifunze sasa..chasis number ina mambo mengi sana itakwambia ata kama gari inayouzwa ni ya wizi hivyo wawezaiepuka..soko la magari lina udanganyifu mwingi sana hivyo wanunuzi tubadilike..picha ni ya muhimu lakini haitakwambia kama gari ni manual au auto..imetengenezwa mwaka gani..petrol au disel..imeibiwa au imepata ajari nk..wajapan wanapenda sana kutuuzia magari maana tunalizika na picha tu !!!!nashukuru gari nimeuza..aksanteni sana +971504374387 dubai

Kumbe ulikuwa unajitangaza wewe.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kaka babu chondo sikushangai ila najua hujuhi bei ya hizo gari ushuru pekee ni zaidi ya 6.5ml unaongelea coaster!!!coaster nzuri kama hizo za posta mwenge ni almost 45ml ni biashara ya watu wachache sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom