A4 t-shirt printer

A4 t-shirt printer

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,099
Reaction score
438
Samahani wajumbe ila naulizia kama mtu anafahamu sehemu wanapouza A4 T-SHIRT PRINTER na ntafurahi nkijua bei na eneo wanalouza na kama ntapata na namba ya simu then ntashukuru zaid
 
Samahani kwa kukate kujibu ila ni printer zinazoweza kuprint t-shirt kwa digital screening yan unatengeneza picha katk computer then unaconnect printer katka computer na unaprint t-shirt
 
Mdau,
Hakuna duka linalouza bidhaa hii na kama kuna duka ambalo sisi hatulijui basi ni bei mbaya. Sisi tunawza kukuagizia toka Hong Kong, mpya au iliyotumika. Ebu angalia hii:-
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"] 10 Sheets T-Shirt A4 Iron-On Inkjet Printer Heat Transfer Paper For Fabric Cloth
From Hong Kong
[/TD]
[TD="width: 110, bgcolor: transparent"]
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]DIGITAL T-SHIRT PRINTER MACHINE A4/ Direct To Garment DTG [/TD]
[TD="width: 110, bgcolor: transparent"]
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Tuandikie kwenye pacifamarine@yahoo.com ili tufanye biashara.[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

 
Sawa kaka na nashukuru sana kwa information ila hata mimi nimefanikiwa kuwasiliana na watu wa alibaba ambao nao wanauza na kinachonifanya nianze kuangalia hapa Tanzania ni kwa sabab uwa sina iman na mambo ya online payment,Umewahi kutumia alibaba na je una imani nayo?
 
Sawa kaka na nashukuru sana kwa information ila hata mimi nimefanikiwa kuwasiliana na watu wa alibaba ambao nao wanauza na kinachonifanya nianze kuangalia hapa Tanzania ni kwa sabab uwa sina iman na mambo ya online payment,Umewahi kutumia alibaba na je una imani nayo?

hamia digital mkuu, ulimwengu ni wa mtandao,
 
kuwa makini na vitu vya online mkuu hasa vinavyohusisha malipo!!!!!!!!!!!!
 
ahsante sana kaka mana nimekaa kwa muda nawaza if ni salama kwel au lah
 
Back
Top Bottom