kubadilishana simu

kubadilishana simu

ngosha2011

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
681
Reaction score
87
Nina nokia asha 200 ipo katika hali nzuri ina kila kitu chake,nataka kubadilisha na mtu yoyote aliye tayari aniambie na aina ya simu aliyonayo
 
mimi nina "eye phone 5s" ni PM tumalize biashara..
 
jamani nahitaji nokia e72 ambayo iko ktk hali nzuri.
 
bado hjashtuka mkuu kuwa hawa jamaa wanakutania kubadilisha nokia asha na iPhone3 si ni sawa na kubadilisha baiskeli na gari.

inaweza ikawa mfano wa iphone si zpo cha kichina nyingi tu
 
bado hjashtuka mkuu kuwa hawa jamaa wanakutania kubadilisha nokia asha na iPhone3 si ni sawa na kubadilisha baiskeli na gari.

Mkuu Sitanii nnayo iPhone 3 Origional na sio Mchina Jamaa ndo anazengua anadai ameni PM lakini ni uzushi Sa anaweka No ya Sim nimpigie nahofu kusumbuliwa
Makubaliano kwanza Mawasiliano Baadae
 
Nina nokia asha 200 ipo katika hali nzuri ina kila kitu chake,nataka kubadilisha na mtu yoyote aliye tayari aniambie na aina ya simu aliyonayo

Ipo black berry mobile 1001 njoo...
 
Mkuu Sitanii nnayo iPhone 3 Origional na sio Mchina Jamaa ndo anazengua anadai ameni PM lakini ni uzushi Sa anaweka No ya Sim nimpigie nahofu kusumbuliwa
Makubaliano kwanza Mawasiliano Baadae

makubaliano yapi tena wakati mimi ndie ninayetaka simu,nimeweka hata nikiwa offline unaweza kunitafuta maana si kila mda nipo humu jukwaani
 
Mi Nina iPhone 3g toka califonia, USA. Mwenye nokia e 52 original mpya alete
 
nina HTC P3300 touch windows phone ya Marekani...tubadilishane
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom